Mechi ikiisha hivi ni burudani sanawamepata 1-1.
Kabla ya goal lao nimeona pia wamegongesha mwamba hapo na takwimu bado zina wabeka mpaka sasa tunachowazidi ni possession tu na shot on target napo hatujawaacha mbaliUmtiti kala njano.
Afanye kweli kuokoa jahazi huko lisizamecoutinho for vidal. dk ya 56
Naona wana wametuacha peke yetu. duuh!! Muda bado upo lakiniRakitic for Paulinho
Hii match kocha aliizalau sana, lkn mpaka hapa ishakuwa ngumuNaona wana wametuacha peke yetu. duuh!! Muda bado upo lakini
Mapema nilivyoona kikosi nikatoa hii kauli ya kocha kudharau game sasa mambo ni hot na wapinzani ata dro inawatosha kabisaHii match kocha aliizalau sana, lkn mpaka hapa ishakuwa ngumu
Poa mkuu ngoja mm nimalizie tuWakuu mm ñalala Mungu akipenda panapo majaaliwa
Pamoja chiefPoa mkuu ngoja mm nimalizie tu
FT 1-1. siyo mbaya. 5 points above ATM. Dembele kakinukisha dk chache alizocheza. Jpili inabidi tufunge turbo, tuattack kama hayawanimwitu.
Kocha mshenzi unamwachaje Denis unaweka mijitu kama Vidal na akiendelea hvyo tutapoteza game za kutosha na ubingwa tutausikilizia kwa JiraniTumezingua leo for sure
Huyu kocha na Vidal wake daaah