Hhahaha una utani mkuu, Vidal anamzidi speed Sergi Roberto hahaa huwezi ukawa serious mkuu. Nakukumbusha event moja angalia ile match na Madrid ile Messi anashinda bao la ushindi kwa pasi ya Alba dakika za majeruhi uangalie Roberto alivomtoa nduki MARCELO ad akasimama kwa kichomi kabla hajasababisha goli. Vidal hamuwezi Roberto kwa speed, stamina, control yan kwa vyote labda kunyoa kipara na kufuga ndevuyeah. mojaya sifa kubwa ya vidal ni speed mkuu.
Free kick ndio mahali pake hapo mkuuMessiiiiiiiiiiiii. 1-0 goli la freekick.
naikumbuka ile Modric anaanguka marcelo anakimbiza kifua katanguliza mbele. ila kwa spidi mkuu hawa wakina vidal niwatu wanaofikisha. 33 au 34km/h sevilla alikuwa winger winger inahitaji speed. amekosa tu akili ya mpira. Roberto kinachomuangusha ni spidi ndiyo maana hawezi kucheza fullback kama ya kina Alba au Semedo.Hhahaha una utani mkuu, Vidal anamzidi speed Sergi Roberto hahaa huwezi ukawa serious mkuu. Nakukumbusha event moja angalia ile match na Madrid ile Messi anashinda bao la ushindi kwa pasi ya Alba dakika za majeruhi uangalie Roberto alivomtoa nduki MARCELO ad akasimama kwa kichomi kabla hajasababisha goli. Vidal hamuwezi Roberto kwa speed, stamina, control yan kwa vyote labda kunyoa kipara na kufuga ndevu
Hata ile remontada ya PSG kwenye uefa Roberto statistics zilikuwa zinaonyesha Roberto ndio alikimbia umbali mrefu zaidi kuliko mchezaji yeyote yule. Yaani alikimbia kutoka hapa hadi Kinyerezi.Hhahaha una utani mkuu, Vidal anamzidi speed Sergi Roberto hahaa huwezi ukawa serious mkuu. Nakukumbusha event moja angalia ile match na Madrid ile Messi anashinda bao la ushindi kwa pasi ya Alba dakika za majeruhi uangalie Roberto alivomtoa nduki MARCELO ad akasimama kwa kichomi kabla hajasababisha goli. Vidal hamuwezi Roberto kwa speed, stamina, control yan kwa vyote labda kunyoa kipara na kufuga ndevu
distance na spidi ni tofauti mkuu. Roberto akipanda halafu mkapigwa kaunta hesabuni maumivu. hana yale maspidi ya kina Vidal. vidal majeruhi nayo yanamrostisha. ila kwa akili ya mpira Roberto ni mzuri kwa mbali sana.Hata ile remontada ya PSG kwenye uefa Roberto statistics zilikuwa zinaonyesha Roberto ndio alikimbia umbali mrefu zaidi kuliko mchezaji yeyote yule. Yaani alikimbia kutoka hapa hadi Kinyerezi.
Aseee Guardiola apunguze kuwanyoosha duh nami nafurahi sana tena ampige tu na tena awapige mana walisema sana Guardiola hana uwezo sasa hivi wanageuka mara anatuonea. Guardiola tu hivi je akija La Pulga si ndo mtagoma kabisa kuingia uwanjani.Meanwhile kwa kibabu mashabiki wanaongeza stress and depression.
Dogo akigugumia umivu.![]()
katikati hatuwezi kukaa nampira. paulinho yupoyupo tu flanks zetu zimezubaa hakuna yale maspidi ya kwenye flanksIdadi ya magoli hairidhishi hadi sasa hv mnaoangalia hii game tatizo nini mana timu yenyewe Las palmas?
Sasa kocha nae alione hili tatizo basi maana hizi ndio game za kuchukulia ujikokatikati hatuwezi kukaa nampira. paulinho yupoyupo tu flanks zetu zimezubaa hakuna yale maspidi ya kwenye flanks
wasipoacha mpira wa kukimbiakimbia na kubutua/kuosha atawatesa sana.Aseee Guardiola apunguze kuwanyoosha duh nami nafurahi sana tena ampige tu na tena awapige mana walisema sana Guardiola hana uwezo sasa hivi wanageuka mara anatuonea. Guardiola tu hivi je akija La Pulga si ndo mtagoma kabisa kuingia uwanjani.
Wakikaza matako wanaweza ndio maana nakomaa na chama langu lipate magoli ya kumwaga mana goli moja sio goli bali ni shot on target tu, ukitaka kuamini hilo ngoja wachomoeHivi hawa La Palmas wanashindwaje kurudisha hako kagoli?
Kocha atakua na majibu hii game asiposhindawamepata 1-1.