kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
Real madrid kachukua mara 33, Barcelona mara 24, Atletico mara 10Na huo ndio uhalisia. Ata mimi siamini Atletico kubeba hili kombe, miaka mingi Barca ndo huwa anabeba sana LA LIGA kuliko timu yoyote, itokeage tu mara moja moja ndo wanabebaga akina Madrid na Atletico.