FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Semedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.
Hii ni kweli mkuu au stor za kitaa tu? Ila kama ni kweli hii deal imekaa kichoko sana kwani yeye Neymar ni nani hadi ajipangie tu anamtaka nani na hamtaki nani
 
Wakuu mfumo 4 4 2 na 4 3 3 kwa timu yetu upi unatoa matokeo mazuri,? kwa upande wangu huu mfumo wetu wa 4 3 3 aliouasisi Pep ndo mfumo bora kuwahi kutokea kwenye timu yetu ukilinganisha na huu wa sasa aliokuja nao Valverde, siudharau mfumo wa 4 4 2 maana hadi sasa umetufanya tusipoteze mchezo hata mmoja ila naona una mapungufu sana hasa upande wa ushambuliaji maana tunakuwa tunajilinda sana kuliko kushambulia kwa wale walioangalia mechi ya juzi dhidi ya Girona watakuwa mashahidi jinsi tulivyokuwa tunafanya mashambulizi mengi tulipoamua kuja na 4 3 3
Nina imani mchezo wa juzi dhidi ya Girona ulikuwa wa majaribio kwa ajili ya marudiano na Chelsea, kwa mfumo wa 4 4 2 chelsea watatusumbua sana maana hakuna mashambulizi na itawafanya wajiamini kuwa wanatuweza
Kama UEFA tutarudisha mfumo wa 4 3 3 basi kikombe tutakiweka kabatini
 
Wakuu mfumo 4 4 2 na 4 4 3 kwa timu yetu upi unatoa matokeo mazuri, kwa upande wangu huu mfumo wetu wa 4 3 3 aliouasisi Pep ndo mfumo bora kuwahi kutokea kwenye timu yetu ukilinganisha na huu wa sasa aliokuja nao Valverde, siudharau mfumo wa 4 4 2 maana hadi sasa umetufanya tusipoteze mchezo hata mmoja ila naona una mapungufu sana hasa upande wa ushambuliaji maana tunakuwa tunajilinda sana kuliko kushambulia kwa wale walioangalia mechi ya juzi dhidi ya Girona watakuwa mashahidi jinsi tulivyokuwa tunafanya mashambulizi mengi tulipoamua kuja na 4 3 3
Nina imani mchezo wa juzi dhidi ya Girona ulikuwa wa majaribio kwa ajili ya marudiano na Chelsea, kwa mfumo wa 4 4 2 chelsea watatusumbua sana maana hakuna mashambulizi na itawafanya wajiamini kuwa wanatuweza
Kama UEFA tutarudisha mfumo wa 4 3 3 basi kikombe tutakiweka kabatini
Umeongea ukweli mtupu ila tulitumia 442 sababu tulikua hatuna ma winger kipindi kile Dembele kaumia na coutinho bado hajaja ndo mana kama unakumbuka tulikua tunawapanga Busquets, Paulinho, Raktic na Iniesta katikati ila Dembele akiwepo tunatumia 433
 
Wakuu mfumo 4 4 2 na 4 3 3 kwa timu yetu upi unatoa matokeo mazuri,? kwa upande wangu huu mfumo wetu wa 4 3 3 aliouasisi Pep ndo mfumo bora kuwahi kutokea kwenye timu yetu ukilinganisha na huu wa sasa aliokuja nao Valverde, siudharau mfumo wa 4 4 2 maana hadi sasa umetufanya tusipoteze mchezo hata mmoja ila naona una mapungufu sana hasa upande wa ushambuliaji maana tunakuwa tunajilinda sana kuliko kushambulia kwa wale walioangalia mechi ya juzi dhidi ya Girona watakuwa mashahidi jinsi tulivyokuwa tunafanya mashambulizi mengi tulipoamua kuja na 4 3 3
Nina imani mchezo wa juzi dhidi ya Girona ulikuwa wa majaribio kwa ajili ya marudiano na Chelsea, kwa mfumo wa 4 4 2 chelsea watatusumbua sana maana hakuna mashambulizi na itawafanya wajiamini kuwa wanatuweza
Kama UEFA tutarudisha mfumo wa 4 3 3 basi kikombe tutakiweka kabatini
Hakuna kocha anayepanga mfumo pasipo kutazama kikosi alichonacho.

Kwa sasa Barca kucheza 4-3-3 ni ngumu kutokana na upungufu wa winga ya kushoto ambayo alikuwa anaicheza Neymar, hili ni pengo kubwa kuliko tunavyofikiria.

Tutakataka tucheze 4-3-3, kule mbele hao watatu ni akina nani na nani? Tukumbuke kuwa Dembele na Messi wote wanacheza namba moja, ukiwaona uwanjani wote uje mmoja wao anacheza namba tofauti ila kipindi ambacho Neymar yupo ule utatu ulikuwa umekamilika kwa kila mtu kuwa na namba yake sahihi.

Hii timu ingepata winga ya kulia nzuri tu, basi ungeona hiyo 4-3-3 ingeendelea kuchezwa ila kwa sasa ni ngumu kutokana na kikosi tulichonacho na mbaya zaid ndani ya miaka 3 hii tumekuwa tunanunua wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza na sub ambao hawatoka ktk Academy ya Barcelona.

So far nampenda kocha, ametengeneza defense vizuri sana, formation ya 4-4-2 imetusaidia sana kutopoteza mipira hovyo na pia kutupa matokeo mazuri, hii formation ndiyo iliizika Real Madrid Bernabeu.
 
Wakuu huyu mpinzani wetu Atletico na Griezmann wake hawafai ata kidogo yani wapo na moto wa kufa mtu, jana wamempiga tena mtu 4-0 na Griezmann katupa kamba zote nne mixer kugongesha miamba..

Dawa ya huyu sio kumuombea mabaya ni sisi kujiombea mazuri tu tuhakikishe kila game tunapata ushindi mzuri...
 
Atletico ana Game moja pale Camp Nou.
 
Upendo unakosekana
IMG-20180228-WA0009-1.jpg
 
Wakuu huyu mpinzani wetu Atletico na Griezmann wake hawafai ata kidogo yani wapo na moto wa kufa mtu, jana wamempiga tena mtu 4-0 na Griezmann katupa kamba zote nne mixer kugongesha miamba..

Dawa ya huyu sio kumuombea mabaya ni sisi kujiombea mazuri tu tuhakikishe kila game tunapata ushindi mzuri...
Jumapili tupo nao camp nou
 
leo inabidi tushinde. ila Valencia wamenikera kusare. nilitaka wawatupe wale jamaa zetu kwenye nafasi ya nne, Kwenye baridi huko. leo inabidi tumpige las palmas tena goli nyingi. Atletico wanatunyemelea.
Atletico anasitisha rasmi mbio zake za Ubingwa La Liga baada ya kuja Camp Nou
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom