FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kikosi
Screenshot_2018-03-01-22-43-08-1.png
 
Hata hamu imeniisha kiukweli kuangalia match
Sub wapo Coutinho, Dembele, Pique, alcacer nk. siyo mbaya maana jpili tuna mechi ngumu na hawawa palmas wako kwenye kushuka daraja. ni chance ya hawa watu nao kucheza mambo yakibana wanaingia kuokoa jahazi japo si rahisi watubane.
 
Point ni 3 kila match, tunaweza kutoa draw leo halafu tukashindwa kuwafunga atletico
 
Huyu Vidal mi naonaga heri acheze beki mbili alafu Sergi Roberto acheze juu yake. Sijajua maana ya kocha ila mda mwingine mi naona tunamshusha kiwango Sergi Roberto kuchezeshwa number 2 kila siku akati match kama hii ad Vidal anaanza lakini still anacheza beki mbili uku uyu kichaa anapewa no.7
kwenye winger nafikiri vidal yuko poa kuliko Roberto maana ana spidi sana sema creativity ndiyo tena. Roberto avumilie kidogo atachukua nafasi ya rakitic RCM
 
palmas msimu wa juzi walikuwa wanaupiga mwingi sana. kocha kaondoka nafikiri na vyuma vimewakazia wamerudi kuwa vibonde. nilikuwa nawapenda sana. leo tutapiga pasi nyingi sana.
 
jamaa wameanza kuchezea msosi. ila vermanator ni mzuri kwenye mipira ya kona.
 
kwenye winger nafikiri vidal yuko poa kuliko Roberto maana ana spidi sana sema creativity ndiyo tena. Roberto avumilie kidogo atachukua nafasi ya rakitic RCM
Mkuu unasema Vidal ana speed kuliko Sergi Roberto?
 
Nawapenda las palmas hawakabi sana

Do not interrupt your enemy when is making a mistake -If you know what i mean
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom