FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

8665663C-EF08-4AE3-9569-FE1CA6D4C158.jpeg
Nangojea hat trick ya mzee baba ... leo ni kujipigia tuu
 
Kwa majina naitwa John Hunter mtaalamu wa data&networking,natoa huduma ya
Unlimited internet
Kwa miezi 3 pasipo kikomo
_1mb/s 15,000
_4mb/s 30000.
Haina kikomo,tumia uwezavyo hata 1000GB kwa lisaa.....nione sasa.kwa wapenda video you tube bata kwaooo, bataaa saana pakua apps za magb.

Unlimited data
Hi ni kwa mwaka 1
_1mb/s 40000.
_4mb/s 90000.
Piga sasa hivi
0621072026....kwa wanaohitaji tu.

Inatumika nchi yoyote na mtandao wowote.ipo spidi kuliko mtandao uutumiayo..
Wengi wanafurahia mtandao kwa unlimited data ,je wewe?
Ptsiteshio tembea mbele
 
Aseee leo tumeupiga mwingi mno. Yan pale kati Raktic na Busquets sielewi nani no.6 nani no.8 wote wanakichafua ile ile combination yao naipenda sana kwa kweli tuache tena kutumia viungo wengi kwenye timu wasio na faida. Semedo na Dembele leo wamewasha sana moto, hofu yangu Semedo asiwe ameumia sana akakosa game na chelsea.
Coutinho, Messi na Suarez ni moto wa kuotea mbali.
 
leo mambo yalikuwa mazuri. right flank imefufuka. Ni jambo zuri bwana mdogo Dembele kupata assist. ila akazane kupiga skwati na chuma. na aache kabisa junk foods/kiepe yai🙂
Ma ball dancer mkuu ndo wanavokua mana chenga zake sio za kukimbizana za kutumia nguvu ni unatishwa uku ukienda uku anadesh ana desh tena we apo ushapoteza network lazima u paralyze kwa mda mkuu maana speed anayotumia kudesh na kudance ni speed ya light ambayo ata ubongo hauwezi kungamua anachofanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom