FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We need our team iwe fit psychologically
Dembele atakapoingia kama sub atabadilisha mchezo pia ni good strategy ila daah leo sijui atapunguza kuruka ruka na kuwa na balance ?maana mazoezi ya injury yamemu affect anaanguka sana hata confidence anapoteza pia
Tumpe nafasi
 
Hatuna crosses hatari wala penetration balls kule mbele
Second half we need S Roberto &Alba to pace the balls foward lazima wapige vyenga na watie mipira ndani
Hii kazi ilikua ya Dembele daaah hivi bado hajapona vizuri?
Aaaagh...!!
 
Crosses zinatuexpose kwa counter attack. Acha waendelee kugonga pasi, ila ni muhimu wakishoot from outside the box.

Paulinho anakaa sana na mpira, anapooza mashambulizi.

Sioni umuhimu wa dembele kuingia sasa hivi. Team iko vizuri. Waongeze umakini tu na defense itulie.
 
Naitabiria ushindi Chelsea... No hard feelings ...naona kipindi cha lala salama kinaelekea kuanza
 
Hatuna crosses hatari wala penetration balls kule mbele
Second half we need S Roberto &Alba to pace the balls foward lazima wapige vyenga na watie mipira ndani
Hii kazi ilikua ya Dembele daaah hivi bado hajapona vizuri?
Aaaagh...!!
bora tungeweka Semedo na huyu roberto angecheza kiungo ya Paulinho. tumepoteana.
 
Crosses zinatuexpose kwa counter attack. Acha waendelee kugonga pasi, ila ni muhimu wakishoot from outside the box.

Paulinho anakaa sana na mpira, anapooza mashambulizi.

Sioni umuhimu wa dembele kuingia sasa hivi. Team iko vizuri. Waongeze umakini tu na defense itulie.
Halafu Rakitic akicheza chini anakua exposed sana na anapiga back passes nyingi sana
Why asicheze position yake kama kawaida ili afanue supply ya mipira??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom