Dah afadhali mkuuNjoo kaka njoo usikate tamaa King katurudisha mchezoni
Dah afadhali mkuuNjoo kaka njoo usikate tamaa King katurudisha mchezoni
Nasikitika hapa sina access ya kuangalia live. Naumia sana kutomwangalia mtakatifu wa mpira... mtakatifu MessiWamemkamata kweli kweli
Hahahah!! nimecheka kwa nguvuMi nikimfumania Messi na mke wangu... kiroho safi kabisa ntamwambia... Maliza baba hakikisha huyo mama anawahi kurudi nyumbani. Kutafuniwa na mtakatifu ni baraka tosha...
Imekua bora zaidi goli kufungwa na huyu mtuDah afadhali mkuu
Coutinho hachezi mechi za UEFA mkuu mpaka next seasonbarca licha ya kutafuta ishindi wao wanatafuta na records ndio kinachofanya mpaka saizi wanapoteza nafasi kwa kutaka fulani ndio afunge, maana pasi nyingi sana ndani ya 18 wakati chelsea wao William akiona mwanya tu anaachia shine hata kama mbali, ...
Hebu watuwekee Countinho kwanza maana ndio anayefanya mpaka saizi niwe macho kuona maufundi
Pole sana mkuuNasikitika hapa sina access ya kuangalia live. Naumia sana kutomwangalia mtakatifu wa mpira... mtakatifu Messi
wameniboa sana, dogo kakaa tu nje, kuna mda alianza kula tizi pale nje nikajua anaingia kumbe NoCoutinho hachezi mechi za UEFA mkuu mpaka next season
Kaingia Gomezwameniboa sana, dogo kakaa tu nje, kuna mda alianza kula tizi pale nje nikajua anaingia kumbe No

Kwa ule msitu wa chelsea suarez angekaa kati kati usingejua kama alikuepo kikosiniIla wakuu mfumo wa 442 haufai kabsa pale mbele yan panakuwa kama hatuna striker Suarez anakaa pembeni sana
Cheisii kwisha habari yaoCamp nou lazima wafunguke kutafuta goli, hapo ndio watachezea koki vizuri mpaka waloe!
Otherwise, bado nalaum kwanini hatupigi from outside the box.
Pia defense imerudia kosa moja mara tatu. Kumuacha free willian eneo la hatari. Kagonga mwamba Mara mbili mwisho wa siku akaweka!
Inabidi waache kukabia macho.
Pique ameupiga mwingi sana, Suarez amekabwa sana, Iniesta amewaunlock sana.
We have an advantage!
Adios amigo