FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haya ni maneno ya vijiweni tu!

Messi hapangi kikosi, wala Messi hayumo kwenye board ya usajili.

Inaweza kua personal opinion tu, ila sio decision.

Dembele anahitaji kupona vizuri ndo arudi uwanjani, hii ni mechi ngumu na inahitaji experience pia.

Otherwise, kwa wanaosema tumepoteza hela kwa dembele naamini hamumjui vizuri huyu bwana mdogo!

dembele hana kipaji cha kutisha nimemuona toka yupo dortmund mkuu jamaa walijua tuna mzigo wa maana ndio walikuwa wanatupandishia dau
 
Eden Hazard alikua anahojiwa leo na Foxy Sports. Akasema:
Zaidi ya mwezi sasa hajafanya mapenzi.
Ugwadu wote lazima aumalizie leo pale Stamford Bridge kwa kuwakojolea wale Mbwa wakimbizi wa Catalonia. Wanaotawaliwa na Serikali kutoka Madrid.

Lazima warudi mabandani kwao huku vijambio vinatoa damu.
Kwanini unawaaibisha wanawake wenzio?
 
Eden Hazard alikua anahojiwa leo na Foxy Sports. Akasema:
Zaidi ya mwezi sasa hajafanya mapenzi.
Ugwadu wote lazima aumalizie leo pale Stamford Bridge kwa kuwakojolea wale Mbwa wakimbizi wa Catalonia. Wanaotawaliwa na Serikali kutoka Madrid.

Lazima warudi mabandani kwao huku vijambio vinatoa damu.
Mkuu, mbona unakuwa na akili mbovu kama polisi wa ccm?
 
Eden Hazard alikua anahojiwa leo na Foxy Sports. Akasema:
Zaidi ya mwezi sasa hajafanya mapenzi.
Ugwadu wote lazima aumalizie leo pale Stamford Bridge kwa kuwakojolea wale Mbwa wakimbizi wa Catalonia. Wanaotawaliwa na Serikali kutoka Madrid.

Lazima warudi mabandani kwao huku vijambio vinatoa damu.
Nonsense!!
Sasa ndio nini hichi?
 
Eden Hazard alikua anahojiwa leo na Foxy Sports. Akasema:
Zaidi ya mwezi sasa hajafanya mapenzi.
Ugwadu wote lazima aumalizie leo pale Stamford Bridge kwa kuwakojolea wale Mbwa wakimbizi wa Catalonia. Wanaotawaliwa na Serikali kutoka Madrid.

Lazima warudi mabandani kwao huku vijambio vinatoa damu.
We ni wa kupuuza
 
Attachments

  • CF91A52E-0249-4168-9F38-1961BC262941.jpeg
    CF91A52E-0249-4168-9F38-1961BC262941.jpeg
    45.2 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom