Naona umerud toka ulikokuwa umefichwaEden Hazard alikua anahojiwa leo na Foxy Sports. Akasema:
Zaidi ya mwezi sasa hajafanya mapenzi.
Ugwadu wote lazima aumalizie leo pale Stamford Bridge kwa kuwakojolea wale Mbwa wakimbizi wa Catalonia. Wanaotawaliwa na Serikali kutoka Madrid.
Lazima warudi mabandani kwao huku vijambio vinatoa damu.
Vikosi bado wakuu havijatoka?
HahahahaKonte hajalala usiku anafikilia Padri Mcharo atafanywaje na karo lake
Best friend wake Fabrigas anaogopa sana Messi akiwa na utulivu wa akili thats what happening todayMfalme anauwa leo
Hahaaaa mkuu nimekusomaYaani Leo hadi naongea kispanishi tu mzuka unakolea minutes after minutes...
por amor de una mujer quando saudade messi una Suarez. Para trabajo. Tamka (trabayo).
Un canto a galicia!
Best friend wake Fabrigas anaogopa sana Messi akiwa na utulivu wa akili thats what happening today
Yuko cool ,media amezitupa kule aliongeza extra exercises za ku shoot mipira kwa accuracy
Ha ha umeuaYaani Leo hadi naongea kispanishi tu mzuka unakolea minutes after minutes...
por amor de una mujer quando saudade messi una Suarez. Para trabajo. Tamka (trabayo).![]()
![]()
Un canto a galicia!