FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kama mpila ungekua ni shule
1:mwalimu mkuu__Alex Ferguson
2:mwalimu mkuu msaidizi__pep guardiola
3:mwalimu wa uchumi__wenga
4:mwanafunzi mwenye tamaa na pesa yaan yupo tayari ahame shule nzuri lakin apewe pesa__Neymal
5:mwanafunzi anayependa alama za juu __Ronaldo
6:mwanafunzi ambao wenyewe kila siku wanaumwa__Dembele,Bale
7: mwanafunzi ambaye anang'ata watoto wa shule za jirani__Suarez
8:mwanafunzi ambaye anapenda masomo sana na amawasaidia wenzake kufauru __Xavi na De bruyne
9:wanafunzi ambao kila siku ni matatizo shuleni ,Mara wapigane __pepe,gattuso,Di canio
10:mwanafunzi ambaye amezoea kufukuzwa darasani__Ramos
11;mwanafunzi mjinga ,anapata alama za chini na hapendwi na watu japo anasoma shule nzuri___Bakayoko
12:mwanafunzi ambaye anapenda kuhama shule ,yaani yeye shule karibia zote amesoma__Zlatan Ibrahimovic
13:mwanafunzi mpole,na yeye ndio analiokoa darasa__Hazard
14:mwanafunzi anayependa kufanya utani akiwa backbencha__Marcello
15:mwanafunzi ambaye anapenda mitihani mirahisi akipewa mtihani mgumu anahama shule__Dani Alves
16:mwanafunzi anayependa kujiremba na anapenda sana wanawake__Pogba
17:mwanafunzi ambaye anapenda kuhudhuria shule kikasiku lakini anafeli __Mephis Depay
18:mwanafunzi ambaye analaumiwa sana na walimu __Balotteli
Najua wengi mnahangaika kumtafuta Messi ,Messi ndio mmiliki wa shule


Na shule yenyewe ni football/Soccer
 
Sevilla send message to Barcelona on Twitter
Screenshot_2018-02-09-08-42-15.png
 
Suares kajituma sana. Assist zake 2 zimetupa ushindi.
Goal la kwanza mtangazaji anasema X- Liverpool players( #9 #14) wameipaisha Barca.
Messi haamini Alichofanya Phillipe Coutinho.
Well play barca.
Yule Suares nyie jamani muacheni tu
Goal la coutinho linaonyesha kabisa the way anavyojitolea kwaajiri ya team angekuwa gomes pale hafungi katu
Lile goli ata halieleweki eleweki yani, ila jamaa hakufurahia goli zaidi kama alivyofurahia kukumbatiwa na Mess
Sevilla send message to Barcelona on Twitter
View attachment 692943
Daah! Basi hawa jamaa watu wa soccer sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom