Kabisa Mkuu. Yaani huyo na Digine Hamna kituGoal la coutinho linaonyesha kabisa the way anavyojitolea kwaajiri ya team angekuwa gomes pale hafungi katu
Yaani Alikuwa misiri ya Mbwa mwitu mwenye njaa Kali porini. Kifupi alijituma zaidi ya 100%.Suares kajituma sana. Assist zake 2 zimetupa ushindi.
Goal la kwanza mtangazaji anasema X- Liverpool players( #9 #14) wameipaisha Barca.
Messi haamini Alichofanya Phillipe Coutinho.
Well play barca.
Sana mkuu lkn mvua ya magoli itawapata na hawata sahauYule Suares nyie jamani muacheni tu
Lile goli ata halieleweki eleweki yani, ila jamaa hakufurahia goli zaidi kama alivyofurahia kukumbatiwa na Mess![]()
Daah! Basi hawa jamaa watu wa soccer sana
HahaaaaAngalau jana nmeona Cristiano ni bora kuliko Gomes, kabla ya hapo gomes ni alikuwa mkali![]()
Shukrani mkuu.Pole sana mkuu tunakuombea upone haraka ,kunywa maji mengi na matunda sana inasaidia
Amen
Kabsa mkuu jana kapiga kazi nzuri sanaHuyu Jasper chilleson,sioni kukaa Barca msimu ujao,on this showing ana kuwa first choice goalie kwa timu nyingi
Nimefurahi sana kurudi Ousmane Dembele, natamani na ntakua mwenye bahati sana katika historia ya mpira wa miguu nikiona siku wakianza Iniesta, Messi, Coutinho, Dembele na Suarez kwa wakati mmoja.Tomorrow's squad
View attachment 693526
Hivi Denis Suarez kashauzwa huyo dogo au katolewa kwa mkopo?Tomorrow's squad
View attachment 693526
next week mkuu. chelsea atakapokuwa anakula 5-0. ila hawa defenders wa RSO nahisi ni shitholers.Nimefurahi sana kurudi Ousmane Dembele, natamani na ntakua mwenye bahati sana katika historia ya mpira wa miguu nikiona siku wakianza Iniesta, Messi, Coutinho, Dembele na Suarez kwa wakati mmoja.
Katika vitu vinavyoumiza ni hili la denis sijui alimkosea nini kocha. Hajawai kupangwa akaonyesha kiwango duni lakini kocha hataki kabisa kumpanga na wakat mwingne najiuliza inakuaje denis hata bench haonekani lkn gomes yuko uwanjan.Hivi Denis Suarez kashauzwa huyo dogo au katolewa kwa mkopo?