Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Game saa ngapi mkuu?All the Best Barça
Visca el Barça
Game saa ngapi mkuu?All the Best Barça
Visca el Barça
Embu tuicheze hii game kabla haijachezwa![]()
Vijana wanaelekea estadio mattsella
Nigame gumu lakini tuta wini 2 kwa 1Embu tuicheze hii game kabla haijachezwa
Roberto, Alba, Umtiti, PiqueNigame gumu lakini tuta wini 2 kwa 1
Lazima matokeo yapatikane mkuu kwani hiyo ni official line-up?Roberto, Alba, Umtiti, Pique
Busquet, Iniesta, Raktic, Paulinho
Mess na Suares
Embu niambie kikosi kikiwa hv hayo matokeo yako yatapatikana?
Nahisi kitakua hivyo ila sina uhakika sana, kwani game saa ngapi?Lazima matokeo yapatikane mkuu kwani hiyo ni official line-up?
Saa 5 na nusu mkuu ila nahisi coutinho Leo atakuwa promoted ili kupumzisha ninja mmoja siunajua UEFA imekaribiaNahisi kitakua hivyo ila sina uhakika sana, kwani game saa ngapi?
Hii game ya leo ina umuhimu sana mkuu siunajua tunatafuta ticket ya kwenda final alafu tulishinda goli moja tu nyumbani na leo tupo ugeniniSaa 5 na nusu mkuu ila nahisi coutinho Leo atakuwa promoted ili kupumzisha ninja mmoja siunajua UEFA imekaribia
Sure kabisa tukizembea kwa kuwapanga kina comes kitatutokea kilicho mtokea madridiots kwa LeganesHii game ya leo ina umuhimu sana mkuu siunajua tunatafuta ticket ya kwenda final alafu tulishinda goli moja tu nyumbani na leo tupo ugenini
Ndio hivyo Chief hapo nikuweka maaskari tu haina kufanya majaribio tena. Kikosi kama hicho kitafaa sanaSure kabisa tukizembea kwa kuwapanga kina comes kitatutokea kilicho mtokea madridiots kwa Leganes
Lazima Leo alie mtu kuna goli 5 hapoSure kabisa tukizembea kwa kuwapanga kina comes kitatutokea kilicho mtokea madridiots kwa Leganes
Sio rahisi mkuu Valencia wanakazaga matako kuzidi MadridLazima Leo alie mtu kuna goli 5 hapo
Akikaza matako ndiyo atafungwa vizuri.Barca hii ni balaa. Spirit kubwa.Sio rahisi mkuu Valencia wanakazaga matako kuzidi Madrid
Hahahah!! Sindano itapita tuSio rahisi mkuu Valencia wanakazaga matako kuzidi Madrid
Game linachezwa ucku mnene najaribu kupambana na usingizi cjui kama ntatoboa
