Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
siku za karibuni naona kadennis huwa kanapoteana sana. sijui kutokujiamini sababu ya kusugulishwa benchi?Katika vitu vinavyoumiza ni hili la denis sijui alimkosea nini kocha. Hajawai kupangwa akaonyesha kiwango duni lakini kocha hataki kabisa kumpanga na wakat mwingne najiuliza inakuaje denis hata bench haonekani lkn gomes yuko uwanjan.