FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

barcelona leo hii majira ya 11:30 ucku itakua mgeni wa valencia pale mestalla kukichafua...
pasina shaka
kabisa bacca
atavaana na
club ya sevilla
mwenye kua na
rekodi ya aina yake urope
hadi hiv
sasa wajuvi
wa maswala ya kabumbu
wanasema tayari
barcelona imeshaweka
makombe mawili
kabatini
huku mpinzani wake
maarufu kwa sasa
timu ya valencia
ikiwa iko kwenye matatizo
ya kiufund
zaid
bila kumsahau mpinzani
wake wa zamani
kipind
hicho madrishit
ama kwa jina lingine
wanaitwa
*madridog*
watakua
leo hii wakiitazama kupitia runinga zao za vichogo
klab ya
dunia kuwahi
kutokea
katika karne
hii ya kisasa
*barcelona*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom