FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

502489ca5f3946389c95bf50bc055c75.jpg

Uyo dogo alitaka kupigwa na umtiti kumbe dogo alimbagua alimuita black shit
 
Kuna wajinga wanasema Messi akienda EPL ataflop.

Wakati hata Deulofeu mkimbia riadha ameanza kuwanyoosha.

Barca sent deulofeu to test the mic, and Chelsea can't handle it!

We're going to tear down that bridge into very tiny pieces!
 
Mkuu huo ni ujinga wa mashabiki wa Mamaesta urinated ndio wanasemaga hivyo

Yaan Sallah ang'are EPL halaf King Leo ashindwe
 
Kuna wajinga wanasema Messi akienda EPL ataflop.

Wakati hata Deulofeu mkimbia riadha ameanza kuwanyoosha.

Barca sent deulofeu to test the mic, and Chelsea can't handle it!

We're going to tear down that bridge into very tiny pieces!
Mapema sana. Watakula za kutosha, Messi10 anaenda kuandika historia.
 
Kuna wajinga wanasema Messi akienda EPL ataflop.

Wakati hata Deulofeu mkimbia riadha ameanza kuwanyoosha.

Barca sent deulofeu to test the mic, and Chelsea can't handle it!

We're going to tear down that bridge into very tiny pieces!
Serious, kwa maokeo haya ya Chelsea endapo akamkuta Barca yupo on form atabeba hata 4 pale Stamford Bridge.
 
Kama mpila ungekua ni shule
1:mwalimu mkuu__Alex Ferguson
2:mwalimu mkuu msaidizi__pep guardiola
3:mwalimu wa uchumi__wenga
4:mwanafunzi mwenye tamaa na pesa yaan yupo tayari ahame shule nzuri lakin apewe pesa__Neymal
5:mwanafunzi anayependa alama za juu __Ronaldo
6:mwanafunzi ambao wenyewe kila siku wanaumwa__Dembele,Bale
7: mwanafunzi ambaye anang'ata watoto wa shule za jirani__Suarez
8:mwanafunzi ambaye anapenda masomo sana na amawasaidia wenzake kufauru __Xavi na De bruyne
9:wanafunzi ambao kila siku ni matatizo shuleni ,Mara wapigane __pepe,gattuso,Di canio
10:mwanafunzi ambaye amezoea kufukuzwa darasani__Ramos
11;mwanafunzi mjinga ,anapata alama za chini na hapendwi na watu japo anasoma shule nzuri___Bakayoko
12:mwanafunzi ambaye anapenda kuhama shule ,yaani yeye shule karibia zote amesoma__Zlatan Ibrahimovic
13:mwanafunzi mpole,na yeye ndio analiokoa darasa__Hazard
14:mwanafunzi anayependa kufanya utani akiwa backbencha__Marcello
15:mwanafunzi ambaye anapenda mitihani mirahisi akipewa mtihani mgumu anahama shule__Dani Alves
16:mwanafunzi anayependa kujiremba na anapenda sana wanawake__Pogba
17:mwanafunzi ambaye anapenda kuhudhuria shule kikasiku lakini anafeli __Mephis Depay
18:mwanafunzi ambaye analaumiwa sana na walimu __Balotteli
Najua wengi mnahangaika kumtafuta Messi ,Messi ndio mmiliki wa shule
 
Nimevua kofia kwa ajili yako.
Nilikuwa nasoma kwa umakini wa hali ya juu kutaka kuona Messi ni wapi kumbe ndio Mmiliki wa shule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom