FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahahaaa. Alikuwa anacheza safe. Back passes nyingi siku hizi kagundua kuwa jamaa hana makuu japo ni alien. Yerry Mina inabidi akipige kama mwenzake
alien alieachwa na UFO hana makuu kabisa ndio mana Mtiti nae siku hizi namuona anapunguza hadi watu kadhaa anatoa pass... Ila huyo Yerry Mina akianza atauwasha sana maana yule chizi anajiamini sana
 
Inaonekana Umtiti kaupiga mwingi sana leo kule Camp Nou, maana comments za YouTube sifa zote kapewa yeye. Sijaangalia gemu, but I was not surprised kusikia Barcelona kashinda.
 
Ukiwa na beki kama Umtiti unaweza kuwa unatamani mshambuliwe ili uone show🙂
Spain wapenzi wa Barca wanasema Velverde anawalaza njaa-bookmakers spain hawatoi hela nzuri Barca ikishinda-Velverde kakaza kamba matokeo ni barca kushinda tuu-wanaomba alegeze uzi ili kuwe na element ya unpredactibility ili watu wapige pesa.Hela nzuri waweza ipata labda u bet Umtiti atapiga hat trick which is impossible-ukiweka hela kwa messi au suarez unaliwa
 
wekeni picha yake tumuone, maana simjui ila kuna jamaa black alikuwa hapo nyuma, alikipiga sana jana. nilikuwa namzarau sikujua kama ndo anapiga mpira vile, anyway ngoja ni google umtiti.
Huyo ndiye azungumzwaye.Umtiti.Black man mfupi hacheki midevu one- leg( left).Ni hatari kwa tackle, interference, blocking hadi raha. Akicheza na Vermeleen utawapenda zaidi.
 
4c54a5cc2065ddc90738214005091a32.jpg

Huyo hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom