jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,689
Messi match ya juzi kaharibu mood yangu-hizi timu zinazojaza watu nyuma ukifika kwenye 18 unatakiwa ufunge macho u shoot na sio utafute placing au goal la akili. Suarez katika maeneo haya ufunga macho na kuachia bullet shotAlafu anakuja mtu mwingine anamcompare na akina gaucho 😀😀