Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 410
- 366
Sipati picha game yao na PSGJamaa wana hali mbaya sana sio siri
Sipati picha game yao na PSGJamaa wana hali mbaya sana sio siri
Mkuu hii game na PSG inasikitisha kwa kuifikiria tu huwezi pata picha. Madrid sahv imekua timu ndogo kama Eiba tuSipati picha game yao na PSG
Sevilla hawako kwenye form msimu huu. UEFA msimu ujao basi tena...Hawa sevilla wako serious kupigwa tano na eibar?
Ndiyo basi tena Laliga...bado UCL ngoja tuone, maana February ndiyo hii.Madrid kaumia kaumia kwi kwi kwi kwi wametoa draw nyingine gap ni point 21![]()
Itakuwa powa sana...Madrid msimu ujao wakicheza Europa hamna haja ya kushangaa
Huyo kwishinei tayari, kwenye soka umri haudanganyi bana. Aende zake MLS au Uchina akawe highest paid huko. Hiyo mipira 5 ya dhahabu (ballon d'or) aliyovizia vizia inamtosha sana.Mbaya zaidi Ronaldo hafungi bila kupiga penalt ata assist hawez kutoa
Na alizibahatisha kwel kwelHuyo kwishinei tayari, kwenye soka umri haudanganyi bana. Aende zake MLS au Uchina akawe highest paid huko. Hiyo mipira 5 ya dhahabu (ballon d'or) aliyovizia vizia inamtosha sana.
Hahah! n kweli mkuu ila tumuombee King aongeze mpira mwngine wa dhahabu mana kulingana na huyo boya sio vizur n dharau sanaHuyo kwishinei tayari, kwenye soka umri haudanganyi bana. Aende zake MLS au Uchina akawe highest paid huko. Hiyo mipira 5 ya dhahabu (ballon d'or) aliyovizia vizia inamtosha sana.
Amina Mkuu. Tukifanikiwa kufika fainali UCL msimu huu, Genius lazima achukue ya 6.Hahah! n kweli mkuu ila tumuombee King aongeze mpira mwngine wa dhahabu mana kulingana na huyo boya sio vizur n dharau sana
Hii line up sijui kama tutatoboa. Siku ile Digne walipoanza na Semedo tulikamatwa na game ilikuja badilika tulipofanya changes. Alba na Roberto ni watu muhimu sana kwa game hii ngumu. Kocha kadharau game. King pia bench.Barca starting eleven today
View attachment 690376
Mwenyewe nimeshangaa sana nadhani kocha kwanza amempa Cotinho majukum ya messiHii line up sijui kama tutatoboa. Siku ile Digne walipoanza na Semedo tulikamatwa na game ilikuja badilika tulipofanya changes. Alba na Roberto ni watu muhimu sana kwa game hii ngumu. Kocha kadharau game. King pia bench.
Mimi hata sioni shida sana kMwenyewe nimeshangaa sana nadhani kocha kwanza amempa Cotinho majukum ya messi
Ngoja tusubiri tuone mkuuMimi hata sioni shida sana k
messi kuanzia bench. Tatizo pale kwa Digne na Semedo. Huwa wanapanda sana na kujisahau mnoo
Mda utatuonesha, kocha kaaza kujiamini sana. Espanol sio wa kuwabeza sana maana wamesha tufunga kwa copa de ley first legMimi hata sioni shida sana k
messi kuanzia bench. Tatizo pale kwa Digne na Semedo. Huwa wanapanda sana na kujisahau mnoo