mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Very unfootball hawa jamaayeah angalia hapo nyuma full 4.4.2
Very unfootball hawa jamaayeah angalia hapo nyuma full 4.4.2
mpira wa spain saa ingine wa ajabu,hawa Valencia wako nafasi ya 3 on merit au bahati?? mbona naona Barca kama wako mazoezini??
its football boss, lazima wapate mtu wa kujaribu kwa mbaliVery unfootball hawa jamaa
Barca inabidi watumie flanks otherwise hawa wanaweza pata drawVery unfootball hawa jamaa
hapa kuna second leg. so valencia wanataka kupambana second leg, first leg wanataka kubanaVery unfootball hawa jamaa
well done boyshapa kuna second leg. so valencia wanataka kupambana second leg, first leg wanataka kubana
Nmeandika kimwendokasiUkimfananisha king na penaldo n kosa kubwa saba
Jamaa kadevelop ile mbaya mana alivokuja alikua hajiamini nahc alikua anamuogopa Mess, alikua haamini kama yuponae kikosi kimojaShikamoo Umtiti. Kwasasa hamna CB kama Umtiti.
hakuna cha ugenini hapa. wanajumlisha magoli second leg na kama watakuwa sare wataenda penalt.Sasa tunaenda kuua maana watataka kutaguta kagoli ka ugenini. Paulinho for Rakitic dk ya 67. Rakitic amecheza vizuri kipindi cha kwanza mwanzoni baadaye akaanza kuflop.
Hawa Valencia na hizi negative tactics yaani wanaamini return leg wata overturn hii deficit? hii kulazana na njaa betting shops hawataigusa hii return legShikamoo Umtiti. Kwasasa hamna CB kama Umtiti.
Hahahaaa. Alikuwa anacheza safe. Back passes nyingi siku hizi kagundua kuwa jamaa hana makuu japo ni alien. Yerry Mina inabidi akipige kama mwenzakeJamaa kadevelop ile mbaya mana alivokuja alikua hajiamini nahc alikua anamuogopa Mess, alikua haamini kama yuponae kikosi kimoja