Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Olympic Lyon alfu kaja kwa pesa ndogo kinomaHeheee ndo Huyu, Sikujua jina lake ila jana nilimkubali sana, Harudishi mpira kwa kipa, anajiamini sana. Alikuwa team gani kabla ya hapa. Ila ni mkali.
