Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Shangazi kwenye kufikisha ujumbe kwa karamu bado sana.sijui huko kwenye kuongea inakuwaje.
 
Watanzania tumechoshwa na :
1. TISS kutishia watu na kutumia wadhifa wao visivyo, na kutumuka vibaya na wanasiasa, kama kuna ukweli wa wanayoyasema hawa wapinzani.

2. Hivi vilio vya wanasiasa wa upinzani ama wanaopinga siasa za magufuli. Kama kuna ukweli wowote wa vituko wanavyofanyiwa, basi waweke wazi hata ushahidi mdogo, kwa mfano, number za simu za hao waliowapigia simu na kuwarishia, picha kama walipiga, majina kama wanayo nk..., hilo litasaidia kufanya waaminike zaidi, kwani sasa kila mtu anapotaka sifa njia rahisi ni kusema naandamwa , natishiwa, nimeitwa polisi.

This is tooo much now, people need to speak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Shangazi should not go if not invited. If TLS has been invited then she should send a representative. They are afraid of her vitriol towards JIWE might cause undue embarrassment!!!
 
Ivo vimsalaba vyenye kirungu juu si ndiyo kama vya Diamond platinum?sory vijumlisha
Hapana. Hiyo ni symbol ya mwanamke yaani, ni duara yenye kijiti ikimaanisha kioo. Symbol ya mwanamume, ni kama ilivyo ya mwanamke, Lakini mwishoni, kuna mshale, maana yake mkuki wa mwindaji.
Kalaga bahho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.

Why then are they stopping her??

Ooooops

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Huendi mbinguni!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shangazi kwenye kufikisha ujumbe kwa karamu bado sana.sijui huko kwenye kuongea inakuwaje.
Wenzio tunamwelewa mubashara labda wewe na wenzio wa darasa la saba A na B ndio hamumwelewi shangazi wa taifa.
 
Ni ujinga na low IQ kuwacheka wenzako kwamba hawajui language fulani wakati na wewe pia hauijui hiyo language, mimi nimedili na native speaker wengi wa english language maishani mwangu lkn hata siku moja hawakuwahi kunicheka popote pale nilipokosea zaidi ya kunisahihisha, ndo maana nashangaa mtu kama Tundu Lisu ambaye pia hajui english language pia anawadhalilisha wenzake tena Majaji Bungeni kwa ujumla wao kwamba hawajui english, Muzungu native wa english hawezi kusema hivyo!

Tatizo wewe sio mtu sahihi wa kusema hajui...

Hiyo ndio shida!

Huna moral authority au mamlaka hayo....

Halafu nilikua naomba ujifunze kuandika maandiko yako kwa kuweka paragraph kwa utenganishi iwe murua kusoma na kukuelewa!
 
Wenzio tunamwelewa mubashara labda wewe na wenzio wa darasa la saba A na B ndio hamumwelewi shangazi wa taifa.

Kwahilo wala sina shaka huwenda ana watu wake aliwarenga.

Wanawake wenzie.
 
Siku wennye nchi wakikasirika na kudai haki sukari itageuka kuwa shubiri ni suala la muda. Tembea polepole kama mzee kobe usije ukajikwaa.
Kazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa sababu wanaogopa speech yangu. Are you people serious? Mnaogopa MAWAZO na MANENO🤣

Mediocrity ya thinking ya hao watu wa “IKULU”: tusema mnanistoppisha kwenda Law Day si nitaita Press Conference na nitasema. Hayo maneno nitayoyasema Magu hatoyasikia?Na political repercussions mnazijua? Come on people THINK before you ACT! 🤦🏻‍♀️ And LEARN FROM YOUR ERRORS!🤦🏻‍♀️
View attachment 1008600

View attachment 1008601
 
Nasubiri siku na yeye akihojiwa na Muzungu BBC tusikie uhodari wa Kidhungu kwa maana kama kilaza mwenzie pia hujifanya mabingwa wa english ila wakikutana na mwenyewe Muzungu native speaker wanaanza kujiuma uma, you know Sackur nyiingi, hata anachoulizwa hakielewi!
Swali la kule UG
 
Back
Top Bottom