Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
Kazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa sababu wanaogopa speech yangu. Are you people serious? Mnaogopa MAWAZO na MANENO🤣
Mediocrity ya thinking ya hao watu wa “IKULU”: tusema mnanistoppisha kwenda Law Day si nitaita Press Conference na nitasema. Hayo maneno nitayoyasema Magu hatoyasikia?Na political repercussions mnazijua? Come on people THINK before you ACT! 🤦🏻♀️ And LEARN FROM YOUR ERRORS!🤦🏻♀️