General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Did you happen to see the evidence of what she is complaining?
Tutaamini vipi maneno yake tu bila ushahidi?
Kwani hakuna makamu wa TLS atoe hotuba? Tatizo ni kiongozi wa tls wa sasa unaleta misimamo yako binafsi kwenye taasisi ya kitaaluma!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Twitter ndio Press Conference YakeNafikiri uko sahihi; ingekuwa vema kunyamaza tu baada ya kuzuiwa kuhudhuria Law Day halaf aitishe tu press conference. Bila shaka wako watu hawapendi mkuu asikie ukweli mchungu; ni lazima kuna kitu wanaogopa kiko ndani ya speech ya shangazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Woman please!!
Who’s scared of what you got to say?
Stop being a narcissist.
All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?
Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Parson ni nini! Au wewe ni Mzanzibar?ww ni coward zaidi maana umeficha hata jina lako na huwezi kuface face to face your most coward parson plus your husband
Low profile englishWoman please!!
Who’s scared of what you got to say?
Stop being a narcissist.
All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?
Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Fatma ndio ana wajibu wa kuweka ushahidi jinsi alivyozuiliwa au kutishwa asiende kwenye hilo tukio, na wala sio anao watuhumu ndio walete ushahidi wa kuonesha kweli walimzuia/zuwia Fatma.What evidence do you expect to see? Unaijua TISS wewe? Kwamba unatarajia kuona TISS wakiitisha presser kusema wanafanya figisu Fatma (Rais wa TLS) asihudhurie LAW DAY? You are quite funny!
Fear of unknown.Kazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa sababu wanaogopa speech yangu. Are you people serious? Mnaogopa MAWAZO na MANENO🤣
Mediocrity ya thinking ya hao watu wa “IKULU”: tusema mnanistoppisha kwenda Law Day si nitaita Press Conference na nitasema. Hayo maneno nitayoyasema Magu hatoyasikia?Na political repercussions mnazijua? Come on people THINK before you ACT! 🤦🏻♀️ And LEARN FROM YOUR ERRORS!🤦🏻♀️
View attachment 1008600
View attachment 1008601
Awe na adabu kwanza kwanini anamuita raisi Magu,je yeye tumuite Karu?Kazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa sababu wanaogopa speech yangu. Are you people serious? Mnaogopa MAWAZO na MANENO🤣
Mediocrity ya thinking ya hao watu wa “IKULU”: tusema mnanistoppisha kwenda Law Day si nitaita Press Conference na nitasema. Hayo maneno nitayoyasema Magu hatoyasikia?Na political repercussions mnazijua? Come on people THINK before you ACT! 🤦🏻♀️ And LEARN FROM YOUR ERRORS!🤦🏻♀️
View attachment 1008600
View attachment 1008601
Amesema Hata Twitter ac yake, pia hata kama wewe huamini that's your problem...Did you happen to see the evidence of what she is complaining?
Tutaamini vipi maneno yake tu bila ushahidi?
Kwahiyo ndo ukandamizaji na woga wa jiwe kwenye Uzi huu unahusika na ulichoropoka hapa?Nafananisha na wanaojua english kama yule aliyemuhoji wa BBC, hivyo Tundu Lisu hajui english kwa maana alifanya makosa ya kigrammer kibao tu, isitoshe yeye Tundu Lisu alijigamba kwamba anajua english na kwamba Majaji wetu wote hawajui english alisema hivyo Bungeni na ndo maana niliinganlia kwa makusudi ile intrerview nithibitishe kama ni kweli anajua english, mimi siyo native speaker lkn nilitoa makosa kibao mengine hata watoto wa native hawawezi kufanya.
Hivo hata Tundu Lisu hajui pia english language kama hao Majaji tu aliowasema.
Native speakers uingereza wanaharibu grammer ile mbaya, hujui tu.Magufuli siyo native speaker wa english, hajawahi kuishi Uingereza na wala hajawahi kujitamba popote kwamba anajua english, ila Tundu Lisu siku zote hujifanya yeye ndo mtaalamu wa english language, kuna siku alisema Bungeni kwamba Majaji wetu wa Tanzania wote hawajui kiingereza, sasa kama mtu anaweza kusema hivyo tena Bungeni nilitegema basi yeye awe ni kama native speaker, lkn kumbe hamn kitu, makosa ya kigrammer kibao, hata maswali hayaelewi vizuri
Laiti mngemjuwa huyu bi shanga mmmmmmmmmmKazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa sababu wanaogopa speech yangu. Are you people serious? Mnaogopa MAWAZO na MANENO🤣
Mediocrity ya thinking ya hao watu wa “IKULU”: tusema mnanistoppisha kwenda Law Day si nitaita Press Conference na nitasema. Hayo maneno nitayoyasema Magu hatoyasikia?Na political repercussions mnazijua? Come on people THINK before you ACT! 🤦🏻♀️ And LEARN FROM YOUR ERRORS!🤦🏻♀️
View attachment 1008600
View attachment 1008601
Trump amewamind sana 😀I wish TISS waone hii na wawe kama hawa..
Huku ndio kuitumikia NCHI na WANANCHI. Sio kumtumikia Rais peke yake.
Trump chastises intel chiefs after they contradict him on Iran and claims of foreign policy success
Sidhani kama umenielewa mkuu.Amesema Hata Twitter ac yake, pia hata kama wewe huamini that's your problem...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sielewi vizuri aanza kushughulikiwa nyuma au mbele huyu shangazi uchwara.Kazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa sababu wanaogopa speech yangu. Are you people serious? Mnaogopa MAWAZO na MANENO🤣