Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Kipi hukijui kwenye awamu hii ?
Tufanye ndio kweli kazuiwa basi atuwekee ushahidi.

Teknolojia imeendelea sana alikuwa anaweza kabisa kuweka ushahidi ili huko baadae uje utumike kwenye vyombo husika.

Hivi alivyo fanya ni kama mimi naweza kusema Fatma Karume kanizuia nisiende ofisi za TLS lakini siweki ushahidi na wewe unataka watu waamini madai yangu.
 
Ivo vimsalaba vyenye kirungu juu si ndiyo kama vya Diamond platinum?sory vijumlisha
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?
Contradictions Mkuu. You say nobody is scared of what she says, and yet all she does is antagonize the president. How then, does she antagonize the president, by whipping him at night when we are not there?
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Nafikiri uko sahihi; ingekuwa vema kunyamaza tu baada ya kuzuiwa kuhudhuria Law Day halaf aitishe tu press conference. Bila shaka wako watu hawapendi mkuu asikie ukweli mchungu; ni lazima kuna kitu wanaogopa kiko ndani ya speech ya shangazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa bahati mbaya wakati wa utawala wa Babu yake nyie aidha mlikuwa vichelema au hamjazaliwa. Karume alikuwa dikiteta na muuaji. Nyani haoni......
Kwahiyo hii ndio inahalalisha mauaji mnayoyafanya ?
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.

Hujaelewa mkuu. Ni kuwa kapata "invite" kutoka Judiciary kwa nafasi ya TLS ni mdau wa mahakama so kapewa na aliiweka hio barua jana twitter

Ila mkanganyiko ni kuwa mgeni rasmi pia ni Mh Rais kwenye hiyo Law Day

Sasa hao watu wa "Ikulu" anaodai wamemfwata kuwa asiende

Mpaka sahivi ni "madai" tu aliyoyasema yeye na pia kasema kama wanataka asiende wampe barua ya kumzui. Kitu ambacho ni kigumu kufanyika/kuamini kuwa kweli wamemwambia hayo.
Ila swala la invite anayo tayari
 
i think in order to show that you aren't scared by her words ,you were just supposed to ignore her and stopping halting her from doing her daily routines like the one she has just cited. let her speak and never be scared. people shouldn't ever run from their own shadows. that's so weird.

Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
 
Tufanye ndio kweli kazuiwa basi atuwekee ushahidi.

Teknolojia imeendelea sana alikuwa anaweza kabisa kuweka ushahidi ili huko baadae uje utumike kwenye vyombo husika.

Hivi alivyo fanya ni kama mimi naweza kusema Fatma Karume kanizuia nisiende ofisi za TLS lakini siweki ushahidi na wewe unataka watu waamini madai yangu.
Aweke ushahidi gani kwa mfano? Barua aliyoandikiwa au sauti ya aliyemzuia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Hahahahahaah!!!!! at least she got you whinning as well!!; she has made her point.
 
Back
Top Bottom