Kwahiyo kama babu alikuwa dikteta anatakiwa kuupenda udikteta, Is that your line of thinking?Kwa bahati mbaya wakati wa utawala wa Babu yake nyie aidha mlikuwa vichelema au hamjazaliwa. Karume alikuwa dikiteta na muuaji. Nyani haoni......
Sent using Jamii Forums mobile app