Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM! That's what happening now...mtoto wa mmoja wa waasisi wa Tanzania Leo amekuwa mwiba kwa serikali ya jiwe!

Sent from my HTC Desire 626 dual sim using JamiiForums mobile app
 
if you are not scared of her, why stopping her to attend law day
Errr...because she was not invited? Kualikwa ni maamuzi ya mualikaji, kama hataki kukualika kwake ukienda mjinga.

Kulia lia kwamba sijaalikwa haisaidii lolote.

Huyu dada mkijitia hashuo la kumfagilia sana mwisho atakufanyeni nyote mashoga...
 
Nimegundua kuwa tatizo lako ni kigalatia. hakipandi hivyo umejibu tu ili na wewe uonekane kuwa leo umechangia
 
Na kwa kuwa muislamu mimi kigalatia baki nacho wewe mgalatia brother.

However, if the nonsense you sprouted was meant to say i do not understand nor speak English... let me assure you that i can teach you, your sisters, your mother and even your father's mistress how to speak the English language and 4 other foreign languages.

Jinasue na ukoloni wa akili uliokuzonga na uthamini cha kwako... Kiswahili ni lugha sahihi zaidi kwa jukwaa hili.
Ila sishangai, vibaraka wa magharibi ndio nyinyi mnaotaka kutuletea ushoga... hivi nikuulize, marinda kamilifu unayo wewe?
 
Kwan nyie mnaosema hajaweka ushahidi mlikwenda kumwomba ushahidi akakosa je mkija kumwomba ushahidi akawapa mtasemaje acheni ubabaishaji Yule ni mwana Sheria hawezi kukurupuka kutoa maneno kama hayo anajua lazima ataulizwa ko ana ushahidi Wala siyo bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa kuwa muislamu mimi kigalatia baki nacho wewe mgalatia brother.

However, if the nonsense you sprouted was meant to say i do not understand nor speak English... let me assure you that i can teach you, your sisters, your mother and even your father's mistress how to speak the English language and 4 other foreign languages.

Jinasue na ukoloni wa akili uliokuzonga na uthamini cha kwako... Kiswahili ni lugha sahihi zaidi kwa jukwaa hili.
Ila sishangai, vibaraka wa magharibi ndio nyinyi mnaotaka kutuletea ushoga... hivi nikuulize, marinda kamilifu unayo wewe?

Usipaniki brother watu kama hao unawajibu kwa Hekima kwan ukimuuliza marinda ni tusi kubwa sana haliendani Na hadhi yako mjini kwa hekima ya kikubwa ili siku nyingine asirudie huo ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipaniki brother watu kama hao unawajibu kwa Hekima kwan ukimuuliza marinda ni tusi kubwa sana haliendani Na hadhi yako mjini kwa hekima ya kikubwa ili siku nyingine asirudie huo ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, ila watu kama hawa ndio wanaokaa na kupaza sauti za uongo wao huku na kule hadi wakasababisha nchi matatizo kwa upuuzi wao...

Kama juzi kati alivyochemka yule mungu mtu wao mwengine kule BBC alipotaka kuongea siasa zake za takataka zilizokosa evidences!!!

Zama zinabadilika.... mambo ya kuaminishwa kuwa kuna fulani ataapishwa kuwa Rais tangia 2015 hadi leo hii 2019 bado "inshallah nitaapishwa" na mtu akaendelea kuamini hivyo zimepita!

Walitambue hilo.
 
🏃 ngoja nikatafute Kodrai ya kufulia sare za katoto kangu wikendi,,,, SIASA NI UNAFKI.... NA WANASIASA WOTE NI WANAFKI.... NYALANDU NA WAITARA ndo mashujaa na wana wafuasi........
 
Back
Top Bottom