njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Huwezi kulazimisha wenye shughuli wakualike wewe uliona wapi? Bahati mbaya mwenye shughuli unamuita kwa jina la. Dharau ati magu.. Hakajui kwamba hako ka magu ni amir jeshi mkuu na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Hata ikiwa mimi nisingekialika...This is hate.Kanataka mwaliko au no hako yake kama Raise wa TLS?,yaani pale Ndo mahala pake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app