Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Who is inviting who .............. I think, it should be the other way around!!

The point here is preventing her from attending the Law Day ........... The Invitation for the President of TLS is inevitable!!
 
Mkuu sijaona mfuasi yeyote wa chadema mwenye akili vilevile sijaona mfuasi yeyote wa ccm mwenye akili. Tofauti yako na Ngabu ni kubwa sana ila sababu kichwa chako umekizamisha kwenye butt ya watu huwezi ona mpaka ukitoe. Ngabu kaandika mpaka makala ya kumkosoa Jiwe na wale wa chadema. Wewe kila kukicha kusifia viongozi wako hata kama ni pumba
unasema kaandika makala kumkosoa jiwe ! kwani hiyo ndio nini ? Maandishi ya Mzee Mwanakijiji au labda ya Humphrey Polepole au maandishi ya Bashiru Ally hukuyaona , leo wako wapi ? Njaa haina baunsa mjomba
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Sawa Lumumba boy.
 
Kama hamuogopi mnamzuia kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    31 KB · Views: 30
ww ni coward zaidi maana umeficha hata jina lako na huwezi kuface face to face your most coward parson plus your husband
*ww - wewe

*Kufaceface to face

Hapa ni SIFURI...sentensi mbovu...elimu pia ni mbovu ..na bila shaka hoja ni mbovu . Huwez bishana kwa hoja na mtu anayeandika lugha mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu ni mahali patakatifu, majizi na mashoga na masagaji hayaruhusiwi na Mungu kwenda hapo.
Aite press aongee utumbo wake ikulu hatakiwi.
 
Baby yake Karume alikuwa zaid ya Mafia Na alikuwa hataki kusikia 'la jini wala la Jabali' akishaamua lake
Ndio maana nimeacha ushabiki "maandazi" kwa hawa "watetezi". Mbona hakufanya hizi harakati kwenye utawala wa baba yake? Alafu watoto hawa wa wakubwa bana you better be extra careful, hivi mnafiriki system ingetaka anyamaze ingeshindwa? Sometimes inabidi kujiongeza then unakazana na kusaka ugali wa watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Huyo ni mlevi fulani hata hamuhitaji kuhangaika nae. Mwanamke akikosa mwanamume huwaga wanabehave that way! Wanapiga wanasepa. Hahahahaaaa. Pole shangazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom