Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,873
- 99,972
Karamu=tafrija/a feastShangazi kwenye kufikisha ujumbe kwa karamu bado sana.sijui huko kwenye kuongea inakuwaje.
Kalamu=kiandika maandishi chenye wino/pen
Karamu=tafrija/a feastShangazi kwenye kufikisha ujumbe kwa karamu bado sana.sijui huko kwenye kuongea inakuwaje.
Muhafaka=×Jamani punguzeni kelele tunajenga nchi kwanza, hizo kelele zenu zingesubiri muda muhafaka ukifika.
Ukiweza kunyamaza mwenyewe fanya hivyo, ukiona mpaka tukufuate basi kaa chonjo.
Aliwarenga=×Kwahilo wala sina shaka huwenda ana watu wake aliwarenga.
Wanawake wenzie.
Umejuaje kafuatwa kweli?He!
Mtu amefatwa na kuzuiwa na TISS minions,halafu unasema nani anamuogopa!?
D'yu have any ounce of gray matter in yo' coconut kweli?
Sheria gani inalazimisha aalikwe?if you are not scared of her, why stopping her to attend law day
She doesn’t deserve to be there, period.
Kualika ni discretion ya mualikaji, huwezi kulazimisha kualikwa.Sheria gani inalazimisha aalikwe?
Thanks mkuuKualika ni discretion ya mualikaji, huwezi kulazimisha kualikwa.
Bwana fulani ni bonge la coward!
Unajishushia hadhi yakoWoman please!!
Who’s scared of what you got to say?
Stop being a narcissist.
All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?
Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Kumbe we ndo usalama wa Taifa?Woman please!!
Who’s scared of what you got to say?
Stop being a narcissist.
All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?
Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Ivi vialama Kama mtu na msalaba mwisho wa tweet YA Shangazi vinamaana gani Wajuzi wa mambo tusaidieniKazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa sababu wanaogopa speech yangu. Are you people serious? Mnaogopa MAWAZO na MANENO🤣
Mediocrity ya thinking ya hao watu wa “IKULU”: tusema mnanistoppisha kwenda Law Day si nitaita Press Conference na nitasema. Hayo maneno nitayoyasema Magu hatoyasikia?Na political repercussions mnazijua? Come on people THINK before you ACT! 🤦🏻♀️ And LEARN FROM YOUR ERRORS!🤦🏻♀️
View attachment 1008600
View attachment 1008601
Umejuaje kafuatwa kweli?
Au ni hiyo Tweet pekee? Unaujua ukweli wake?
Jifunze kuhoji kila kitu
Aliwarenga ndio Kiswahili cha wapi?Kwahilo wala sina shaka huwenda ana watu wake aliwarenga.
Wanawake wenzie.
Kiandikio basi, ah!Karamu=tafrija/a feast
Kalamu=kiandika maandishi chenye wino/pen
Duh!Kiandikio basi, ah!
Akirudi nistueTuseme sijui kama kafuatwa,wewe pia umejuaje kama hajafuatwa?
Nyani haoni kundule eee?
Rule of thumb inasemaje?
Yeye ni mtu mzima mwenye akili timamu,ana cheo kwenye jamii,anaaminika ndio maana jamii imempa cheo fulani,anachokisema tunachukulia kwa uzito wake baadae ndio tutajua kama ni mkweli au si mkweli,ila sasa tunachukulia seriously akisemacho!
Hatuwezi ignore,maana ni mtu mwenye public trust ana anaheshimika na jamii!
Wewe unataka tu-ignore kwa kukusikiliza ukisemacho wewe binafsi bila any proof whatsoever,which ni ujinga!
Tungekuamini walao kama ungekua na known trust ya jamii,ila nobody knows your ass,!
Tukuamini wewe au Fatma Karume?
I bet'chu know the answer to that!