Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

very good is relative, bado hajui kuongea english vizuri, ushahidi upo wazi ingawaje anafikiri anajua, hata maswali tu ya Muzungu hayaelewi, anaulizwa hivi anajibu vile!

Labda Bwana Barbarosa,unafananisha English ya Lissu na nani labda?

Tuanzie hapo!

Maana huwezi kua na mamlaka ya kusema hajui English wakati wewe mwenyewe ni hovyo,then compare na bwana wako,ni even worse,sasa sijui utakua unamtumia nani kama base?
 
Hujui kama keyboard zina auto correction,na nilikuwa na type huku natembea,uliza kwanza kama nilimaanisha kilichoandikwa au laa,upo res sana hufai hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mkuu,mimi sipo responsible na unachokosea wewe!

Mimi niko responsible na ninachokosea mimi mwenyewe!

Kosa lako ni lako,sio langu,na wala sipo responsible mzee!

Rekebisha then we move on ma nigga!
 
Labda Bwana Barbarosa,unafananisha English ya Lissu na nani labda?

Tuanzie hapo!

Maana huwezi kua na mamlaka ya kusema hajui English wakati wewe mwenyewe ni hovyo,then compare na bwana wako,ni even worse,sasa sijui utakua unamtumia nani kama base?

Nafananisha na wanaojua english kama yule aliyemuhoji wa BBC, hivyo Tundu Lisu hajui english kwa maana alifanya makosa ya kigrammer kibao tu, isitoshe yeye Tundu Lisu alijigamba kwamba anajua english na kwamba Majaji wetu wote hawajui english alisema hivyo Bungeni na ndo maana niliinganlia kwa makusudi ile intrerview nithibitishe kama ni kweli anajua english, mimi siyo native speaker lkn nilitoa makosa kibao mengine hata watoto wa native hawawezi kufanya.

Hivo hata Tundu Lisu hajui pia english language kama hao Majaji tu aliowasema.
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Mh!!..
 
Nafananisha na wanaojua english kama yule aliyemuhoji wa BBC, hivyo Tundu Lisu hajui english kwa maana alifanya makosa ya kigrammer kibao tu, isitoshe yeye Tundu Lisu alijigamba kwamba anajua english na kwamba majaji wetu wote hawajui english alisema hivyo Bungeni na ndo maana niliinganlia kwa makusudi ile intrerview nithibitishe kama ni kweli anajua english, mimi siyo native speaker lkn nilitoa makosa kibao mengine hata watoto wa native hawawe kufanya.

Barbarosa una unafiki mkubwa kupita maelezo!

Yaani unampima Lissu ambae English kwake ni lugha ya 3 wakati yule interviewer ni lugha yake mama (yaani mother tongue)?

Hivi kweli?

Hivi shule ulifundishwa kuchukua mifano iliyopishana namna hii kujenga hoja?

Lissu mfananishe na mwingine yeyote ambae English kwake ni Lugha ya 3!

Na more perfectly awe anatoka TZ alikotoka yeye maana mazingira ni mamoja!

Sasa,atakua Barbarosa au Jiwe?

Barbarosa,sometimes kua mkweli and honest,tutakuheshimu zaidi!

Unaipenda CCM na Magufuli,I get it..

Ni haki yako kuwatetea kwa nguvu zako zote,ila atleast tuwe wakweli kwenye hoja zetu bwana!
 
Anafiliri ikulu ya vuga ndio ya magogoni. kunatofauti kubwa saana
Ikulu ya Magogoni a. k. a Dar us Salaam ni mali ya Zanzibar imejengwa kwa amri ya Sultan Majid bin Said bin Sultan Mfalme wa Pili wa Zanzibar. Mlango ule umeandikwa Dukhul Bi Salama (Come in peace) wa Kuunu Mina Al Aminin. Ingia kwa salama uwe kwenye Amana ( and be
secured). So mtu yoyote anaeingia Magogoni na nia ya mbaya hatokaa kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fatuma plz, stop being arrogant, ww mtu mdogo sanaa sanaaa kwa Mh. Rais, acha utoto na kujiona uko level hiyo, acha hiyo mentality ya kijinga, wee nani? Kisa baba yako alikuwa Rais unajiona na ww kama Rais unaweza mjibu Mh. Rais Magufuli kama ulivyolelewa kipuuzi.. Hivi nitajie any case uliyoshinda kwa miaka 5 iliyopita..!! Acha kumzoea zoea Mh. Rais JPM kama ulivyowazoea huko kwenu.. Kidomo punguza mwanamke..!!
Wamewahi kujibishana? Kama anaongea peke yake shida iko wapi...acha aongee akichoka basi! Ebo!
 
Woman please!!

Who’s scared of what you got to say?

Stop being a narcissist.

All you do is antagonize the president and you expect him and his people to invite you to their events?

Fine. Call your press conference and say what you want to say and stop whining about not getting an invite.
Shangazi, is the President of TLS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!! English.....
Nafananisha na wanaojua english kama yule aliyemuhoji wa BBC, hivyo Tundu Lisu hajui english kwa maana alifanya makosa ya kigrammer kibao tu, isitoshe yeye Tundu Lisu alijigamba kwamba anajua english na kwamba Majaji wetu wote hawajui english alisema hivyo Bungeni na ndo maana niliinganlia kwa makusudi ile intrerview nithibitishe kama ni kweli anajua english, mimi siyo native speaker lkn nilitoa makosa kibao mengine hata watoto wa native hawawezi kufanya.

Hivo hata Tundu Lisu hajui pia english language kama hao Majaji tu aliowasema.
 
Barbarosa una unafiki mkubwa kupita maelezo!

Yaani unampima Lissu ambae English kwake ni lugha ya 3 wakati yule interviewer ni lugha yake mama (yaani mother tongue)?

Hivi kweli?

Hivi shule ulifundishwa kuchukua mifano iliyopishana namna katika kujenga hoja?

Lissu mfananishe na mwingine yeyote ambae English kwake ni Lugha ya 3!

Na more perfectly awe anatoka TZ alikotoka yeye maana mazingira ni mamoja!

Sasa,atakua Barbarosa au Jiwe?

Barbarosa,sometimes kua mkweli and honest,tutakuheshimu zaidi!

Unaipenda CCM na Magufuli,I get it..

Ni haki yako kuwatetea kwa nguvu zako zote,ila atleast tuwe wakweli kwenye hoja zetu bwana!

Na ndo maana nilishangaa mtu ambaye siyo native speaker kam Tundu Lisu kuwasema wengine ambao wamejifunza english language kama yeye kwamba hawajui english language, kwa kawaida mtu anayeweza kusema hivi native speaker, isitoshe Muzungu native speaker hawezi kusema kwamba Majaji Tanzania hawajui english hata kama akiona wanafanya makosa, ndo maana nilishangaa huyu anayewasema wenzake tena Majaji Bungeni kwamba hawajui english ina maana yeye ni lazima awe native speker, sasa nilishangaa hata yeye pia kumbe hajui huyi english language.
 
Barbarosa

Aliji-compare na wenzake 3rd lingo speakers..na infact yupo right maana wote tushawaona wakiongea in public!

Yeye na yule,yeye ni bora kwa English speaking and writing!

Tushawaona in public wakiongea...mzee,hii ni fact na sio ushabiki!

Jamani,kuna kupinga na kupinga,ila sometimes mkuu,walao kama ni kweli ni heri unyamaze basi usionekane umpa sifa kama hutaki!
 
Nasubiri siku na yeye akihojiwa na Muzungu BBC tusikie uhodari wa Kidhungu kwa maana kama kilaza mwenzie pia hujifanya mabingwa wa english ila wakikutana na mwenyewe Muzungu native speaker wanaanza kujiuma uma, you know Sackur nyiingi, hata anachoulizwa hakielewi!
Hata ww unakuwa na wivu kwa mwenzio!!???
Haipendeziii hata Kidogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barbarosa

Aliji-compare na wenzake 3rd lingo speakers..na infact yupo right maana wote tushawaona wakiongea in public!

Yeye na yule,yeye ni bora kwa English speaking and writing!

Tushawaona in public wakiongea...mzee,hii ni fact na sio ushabiki!

Jamani,kuna kupinga na kupinga,ila sometimes mkuu,walao kama ni kweli ni heri unyamaze basi usionekane umpa sifa kama hutaki!

Ni ujinga na low IQ kuwacheka wenzako kwamba hawajui language fulani wakati na wewe pia hauijui hiyo language, mimi nimedili na native speaker wengi wa english language maishani mwangu lkn hata siku moja hawakuwahi kunicheka popote pale nilipokosea zaidi ya kunisahihisha, ndo maana nashangaa mtu kama Tundu Lisu ambaye pia hajui english language pia anawadhalilisha wenzake tena Majaji Bungeni kwa ujumla wao kwamba hawajui english, Muzungu native wa english hawezi kusema hivyo!
 
Back
Top Bottom