Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Bomu la nyuki limetua kwa misukule ya Lumumba lazima itoke mbio.
 
Huyu anayeitwa shangazi mbona ni mlalamishi sana???!!! Dah...
ukweli unauma japo hatupendi kuusikia.Habari ndio hiyo yaani aibu hiyo tofauti daa!halafu tunaimbishwa nchi hii ni tajiri sana INA lasilimali nyingi hahaaaa laana ipo mahali.
 
Upo sahihi watanzania wengi karibia 95% ni wajinga ndio maana tunachagua wajinga wenzetu wawe viongozi.

Ni lazima tujikomboe kifra kwanza.
Upo sahihi mkuu kama nchi hii watu wengi wangekuwa werevu ccm hata wangeiba kura vipi isingesaidia maana zingekuwa nyingi kupita kiasi zinazo wakataa lakini shule za kata ni kiwanda cha kuzalisha majinga kwa maelfu kila mwaka.
 
Ujumbe mfupi, lakini ni wenye uzito mkubwa sana!

Ingependeza sana watu wakaujadili 'ujumbe' kwa kina kuliko kumjadili aliyeleta ujumbe!

Bila shaka CCM wanakereka sana na taarifa kama hii, maanake inaumiza sana, na ni taarifa inayoeleweka kirahisi na wengi.
Hasa ukizingatia hao SWAPO tumewasaidia sana kwenye vita yao ya kujikomboa leo wanatuacha kwa tofauti hiyo SHAME.
 
Sioni hoja yoyote hapo kwa huyo bibi kizee... hakuna nchi inayokosa kuwa na watu wenye pesa hata kama GDP yake ni ndogo halafu GDP sio wingi wa matajiri au wawekezaji!

Kwa hiyo Namibia inaweza kuwa na matajiri wanao weza kuwekeza tanzania wala jambo hilo sio la kushangaza kabisa...
 
Huyu mtu anaweweseko la roho tu.it has nothing to do with watanzania. Angeweka tu mambo hadharani tujue tumsaidieje,sema watu wanamshabikia as if anawapeeeenda. Hata leo tu akipewa hata kaukurugenzi humsikii tena.
Umechanganyikiwa jibu hoja mkuu huna kaa kimya haina haja tuujue ujinga wako.
 
Wapi aliwahi sema Asante CCM kwa kumpa hata baba yake uraisi.wanyakyusa Akina Tulia naibu Spika hata ukimpa parachichi baba yake au mama yake lazima aseme Asante na kulia akipiga magoti akitamka kinyakyusa kuwa kyala akutule yaani Mungu akubariki Asante kwa kwa kumpa baba au mama parachichi akiwa na ndugu zake huku wanagalagala chini kuwa sisi hatujampa baba parachichi tunawashukuru sana kumpa baba au mama yetu parachichi .Huyu fatuma Hana hata shukrani ya kushukuru kuwa CCM ilimpa Cha maana baba yake au babu Yake au Kaka zake? loo !!!sijaona mtu asiye na shukrani Kama Fatuma Karume serious.Lini aliandika mitandaoni kushukuru CCM ?
Jibu hoja acha ngonjera wanyakyusa tunaingiaje hapo!!??
 
ukweli unauma japo hatupendi kuusikia.Habari ndio hiyo yaani aibu hiyo tofauti daa!halafu tunaimbishwa nchi hii ni tajiri sana INA lasilimali nyingi hahaaaa laana ipo mahali.

Ukweli ni upi hapo?? Yaani kuiomba Namibia ije iwekeze kwetu ni aibu???!!! Why aibu???!!! Nadhani wengi wenu hamjui historia ya Namibia....Hii nchi ilikuwa juu kiuchumi tangu zamani...Don't you know kuwa hii ilikuwa chini ya makaburu wa Afrika Kusini??? Hivi tukiomba Afrika Kusini ije iwekeze huku kwetu ni aibu???!!! Na tukiomba Kenya ije iwekeze huku kwetu ni aibu???!!! Na Bakhera/Azam au MO akiwekeza huko Rwanda au Burundi au Kenya au Uganda ni aibu!!!??? Nadhani hamjui siyo tu masuala ya historia ya nchi mbalimbali bali pia uchumi...huyo anayeitwa shangazi anajivunjia heshima tu...Uchumi wa Namibia uko juu kuliko wa kwetu na miundombinu yao ni ya hali ya juu...Lile lilikuwa ni kama koloni la makaburu wa Afrika Kusini...Hata TZ sasa inapiga hatua kubwa kuelekea kwenye uchumi imara ....JPM ndiyo malengo yake...tumepoteza miaka mingi mno ya maendeleo...Uchumi imara hauji kwa lelemama na kuhujumiana ...uchumi imara unakuja/utakuja tu kwa kufanya kazi na kufuata sheria na kanuni na siyo kulalamika kila kukicha...
 
Kama hujui kaa kimya alie ondoka mapema ni babu yake na kama hujuw baba yake ni karume wa pili na yeye alikuwa Rais. Ila ndio kama vile alikuwa yote yangu.... Safiri znz ukasikie mengi
Nadhan hii ya yote yangu na huyu wa bara asaiv anayo
 

Ati nini?
Huyu Magufuli ndiye anayewalaghai Wadanganyika kila siku kuwa...''HII NCHI NI TAJILI SANA INAWEZA KUWA DONA KANTRI....!! Hapa ndipo unapopata akili kuwa Rais Magufuli anachoongea mdomoni hakina uhalisia wala ukweli wowote zaidi ya unafiki na ubabaishaji...!!!Kama Tanzania inaweza kuwa DONA KANTRI(.....Yawezekana kwa vile hajui Kiingerza saasawa huenda anaposema DONA(DONOR) anaa manisha DONA la Unga wa Mahindi usiokobolewa...!!!
 
Hata hiyo $936 si ya kujivunia sana ukichukulia kwamba 90% ya economy inamilikiwa na 5% ya Population
Hiyo watu wa Statistics tunaita the weakness of AVERAGE ratio in analysis kwa mfano kuna watu 10 ambao kipato chao jumla ni 1 000,000/= wastani wake tutasema kila mtu anamiliki 100,000/= Lakini kiuhalisia inawezekana katika hao watu 10, watu 2 wanamiliki 800,000/= kwa pamoja na waliobaki ambao ni 8 wanamiliki 200,000/= kwa pamoja
Hivyo basi kuamini kwamba ktk hao watu 10 kila mmoja anamiliki 100,000/= ni kujisahaulisha tatizo
GDP per capita ya Tz ni $ 936

GDP per capita ya Namibia ni $ 5,227

Ni kuweka data sahihi..
 
Back
Top Bottom