Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Mbona hakumshauri baba yake alipokuwa rais? Mambo mengine watu wanapiga kelele kwa sababu nyingine kabisa na siyo kama wana uchungu na wananchi! Miaka yote nchi yetu imekuwa inasaidiwa na nchi zenye population ndogo kabisa kulinganisha na sisi! Leo ndiyo ameona?
Baba yake anaingiaje kwenye hiyo tweet?

ficha ukiazi huo.
 
Akamuulize baba yake ilikuwaje akashindwa kuifanya Zanzibar kuwa Dubai of Africa.
Wakati wa Karume Zenj ilikuwa nchi ya kwanza east and central africa kuwa na colour tv. Zenj ilikuwa na akiba kubwa ya forex kuliko tanganyika, per capital income ya Zenj ilikuwa kubwa sana kulinganisha na tanganyika
 
Nadhani majority yetu tz ni wajinga
Na tunawaweka viongozi wasio na maono sahihi ya maendeleo ama hawaelewi vipaumbele sahihi vinavyokwenda sambamba na ukuaji wa uchumi
Upo sahihi watanzania wengi karibia 95% ni wajinga ndio maana tunachagua wajinga wenzetu wawe viongozi.

Ni lazima tujikomboe kifra kwanza.
 
mtu akihoji ni mlalamishi.Wapinzani walivyosusia vikao vya bunge kupinga hati ya dharura ni mlisema walalamishi na wanakwamisha maendeleo ya haraka kwa kumaanisha kuwa eti kusaini haraka ili gesi izalishwe ndo maendeleo ya haraka.Saiz gas ishapotea
Huyu anayeitwa shangazi mbona ni mlalamishi sana???!!! Dah...
 
Hili demu ni mkosi, bibi kizee, lakini linajifanya binti , mgongo mapaja nje, haliheshimu hata mafundisho ya dini
Hapo yeye amejadili masuala mazito ya kitaifa, wewe unamjadili yeye huoni una uelewa mdogo? Jitafakari. Viongozi wangapi wa umma na wa kisiasa wanahangaika kupaka pico kichwani, kidevuni na puani almradi kuficha uzee. Wanatofauti gani na fatuma wa mgongo wazi? Lakini ndo hao hao wanaopresent ministerial paper bungeni.....weigh out!
 
Hivi kumbe tuna maisha magumu hivi! Yaani GDP per capita ni $400, na kuna mwingine hapa amesema ni $900 kwa sasa. Hata ikiwa hivyo, maana yeke ni kuwa kwa siku mTz anategegemea $2.5 endapo GDP hiyo imepimwa kwa mwaka. Kweli tuna hali mbaya.
 
Back
Top Bottom