Sasa huyo naye anayejiita shangazi badala ya kuwekeza anashinda mtandaoni kulalamika tu. Nishai tupu.
Hiyo GDP kwa Tz imeshafikia $900+ kwa mujibu wa world bank record 2019
Mbona hakumshauri baba yake alipokuwa rais? Mambo mengine watu wanapiga kelele kwa sababu nyingine kabisa na siyo kama wana uchungu na wananchi! Miaka yote nchi yetu imekuwa inasaidiwa na nchi zenye population ndogo kabisa kulinganisha na sisi! Leo ndiyo ameona?
Aliondoka mapema sana, ila katika viongozi ambawo walikuwa na upeo mkubwa sana, Marehemu Karume alikuwa mmoja wapoAkamuulize baba yake ilikuwaje akashindwa kuifanya Zanzibar kuwa Dubai of Africa.
jibu ni rahisi waTz bara hawataki Znz wasimame wenyewe hilo ndio jibuAkamuulize baba yake ilikuwaje akashindwa kuifanya Zanzibar kuwa Dubai of Africa.
ngoja waje ukawa wenzio
lowassa kishaona kaamua kuludi si yetu macho 2
Jibu kwa hoja yeye kaweka data acheni kuleta fallaciesAkamuulize baba yake ilikuwaje akashindwa kuifanya Zanzibar kuwa Dubai of Africa.
Tatizo ni CCM, kwani baba ake alikuwa nje ya mfumo wa CCM?Akamuulize baba yake ilikuwaje akashindwa kuifanya Zanzibar kuwa Dubai of Africa.
kwenye msafara wa mamba kenge nao wapokuludi = kurudi
Mkuu na ukubwa wako huo hujui kuandika?