We kenge tuu umejuaje kuwa hakumshauri?Mbona hakumshauri baba yake alipokuwa rais? Mambo mengine watu wanapiga kelele kwa sababu nyingine kabisa na siyo kama wana uchungu na wananchi! Miaka yote nchi yetu imekuwa inasaidiwa na nchi zenye population ndogo kabisa kulinganisha na sisi! Leo ndiyo ameona?
Basi anatakiwa awe anamuorodhesha pia anapotaja udhaifu wa ccm.Baba yake ni baba yake!
Sasa sijui unachukua matendo ya mtu A unamhukumu mtu B?
Hivi wewe tukikuita kichaa utakasirika kweli?
Hivi shangazi ina maana yeye sio mwana CCM?
Akitaja CCM ina maana babu yake na baba yake ni obviously wamo ndani maana walikua wanachama na viongozi wake at some point in timeBasi anatakiwa awe anamuorodhesha pia anapotaja udhaifu wa ccm.
Asijifanye hajui chochote.
Tumia akili mkuu, wewe ni zaidi ya nyumbu.Akitaja CCM ina maana babu yake na baba yake ni obviously wamo ndani maana walikua wanachama na viongozi wake at some point in time
Sasa wewe sijui unasema madudu gani hasa?
Kwani huyo huwa ni Karume hii hii au Karumeke....?Baba yako alitusaidia nini hapo kwenye popn ya 1.4?tuanzie hapo kwanza.
Naona umeishia kuita nyumbu hujajikita kwenye kujibu hoja...Tumia akili mkuu, wewe ni zaidi ya nyumbu.
She even dont think about you whatsoever!Kwani fatuma anatusaidia nn ? Silipendi
Sioni hoja yoyote, ndio maana nikakuhimiza kutumia akili yako sawa sawa. Au bado hutaki nikulazimishe???Naona umeishia kuita nyumbu hujajikita kwenye kujibu hoja...
Walao ungejibu hoja husika halafu mwisho wa sentensi utukane kama nilivyofanya mimi....
Tatizo ni direct kwenye tusi which shows how shitty you are!
Ungeainisha sio hoja kwa sababu gani ueleweke!Sioni hoja yoyote, ndio maana nikakuhimiza kutumia akili yako sawa sawa. Au bado hutaki nikulazimishe???
Bro naona umepandisha kichaa.Haya twende.
GDP per capital ya tz ni ngapi???shangazi yako hajui, inawezekana hata hajui pia babu yake na baba yake ni waasisi wa ccm.
Kutakuwa na" nge "mwisho nahisi.Kwani huyo huwa ni Karume hii hii au Karumeke....?
Hao huwa nasikia kuelewa mpaka damu zitoke sikioniKutakuwa na" nge "mwisho nahisi.
Haziko mbali zitatoka tu.Hao huwa nasikia kuelewa mpaka damu zitoke sikioni
Embu soma swali kwa utulivu ndipo ujibu, haraka za nini??Ungeainisha sio hoja kwa sababu gani ueleweke!
Kunyamazia ni kwamba hatujui kama umeiogopa au kweli haina hoja,hivyo ungeeleza ili tujue...
Jipange!
Bro naona umepandisha kichaa.
GDP per capita na sio GDP per capital uliyoandika wewe!
Na GDP ya bongo ni ya nini hapa?Kwa maana GDP per capita ya TZ ni bora sana?
Sijakuelewa kabisa!
Hii ni mavi gani uliyoandika?GDP per capital
Gdp per capitaHii ni mavi gani uliyoandika?