Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Uliposema nisilazimishe ndio nakwambia waliokuteua bora wangekupa nafasi ya Humphrey!! Hapo unatumia kodi zetu bila ya kuleta mabadiliko ya maana kwa vijana.

Yaani kushindana na "Dangote" badala ya kuja na mikakati ya kuwasaidia vijana wenzako wanaomaliza kidato cha Nne, sita, na kwenye vyuo mbali mbali ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Unachosha na vijistori vyako visivyo na mbele wala nyuma. Hebu nenda zako huko.
 
Huko huko.
Huko huko ndiko kuna vijana wamemaliza vyuo vikuu na hawana kazi. Ulijiuliza ilikuwaje kazi za Ualimu zilipotangazwa zaidi ya wahitimu wa vyuo vikuu 91,000 waliomba nafasi hizo? Uliwaza wale wengine zaidi ya 87,000 waliokosa nafasi hizo walikwenda wapi ama wanafanya nini mpaka sasa?

Wewe ndio wajibu wako kuhakikisha kwamba wanapata cha kufanya badala kutwa kuzunguka na bahasha za Kakhi mikononi. Wewe ukiamka unawaza kuja kupiga porojo JF mipango ya kuwasaidia huna.
 
Huna kazi?
 
Haya ni matumizi mabaya ya bando. Nitakushitaki kwa Mashinji sasa.
Ungekuwa unataka kuwasiliana na Mashinji ungebakia CHADEMA. Ila kabla ya kujipendekeza kwa mashinji shughulika kwanza na tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana.

Ulitakiwa uwe mbunifu na siyo kazi kujaza server za JF. Shughulika na mambo ya Pensheni, uboreshaji wa vyuo vya VETA, kugeuza michezo iwe ni ajira na iwaletee vijana kipato na mengine mengi.

Wewe Umri wako bado mdogo kwa nini unakuwa na mawazo ya kizee kama sisi tuliokwisha pita umri wa ujana?

Angalia usije ukawa unaitwa kijana mpaka uzeeni kama rafiki zako kina Lemutuz na Steve Nyerere.
 
Wewe unashinda wapi?
Nashinda JF. Ndiyo maana nimekwambia tangu mwanzoni majukumu yangu na yako hayafanani. Mimi nauza Peremende huku nipo JF. Wewe una jukumu la kuwafanya wengine wapate kazi lakini umejipa kazi ya kuifuatilia CHADEMA JF.

BADILIKA.
 
Hiyo GDP kwa Tz imeshafikia $900+ kwa mujibu wa world bank record 2019
Swali ni je sisi watanzania tumeshindwa wapi? Tunatakiwa kufanya nini???
"kwa mujibu wa world bank" kwa mujibu wetu je? hizi tafiti mnazotegemea kufanyiwa mnajiweka utumwani daily, yani ni kama una familia alafu hujui kama familia yako ime advance au la, mpaka faqmilia nyingine ndo waje wawaambie mmeendelea, ndo mfurahi, au mnaweza kuwa mnamaisha mazuri afu wakaja wakawaambia nyie maskini na nyie mnaamini
anyway, sababu world system ishakaa hivo, hatuwezi kujiengua kwenye hiyo system ya kufanyiwa research na kupewa report, lakini we should have a future plan for africa, yani mpango wa kua tunafanya research zetu wenyewe, tukiwaachia hawa mabeberu wawe wana tufanyia research watakua wanatu mislead every day
 
Back
Top Bottom