Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

Mbona hakumshauri baba yake alipokuwa rais? Mambo mengine watu wanapiga kelele kwa sababu nyingine kabisa na siyo kama wana uchungu na wananchi! Miaka yote nchi yetu imekuwa inasaidiwa na nchi zenye population ndogo kabisa kulinganisha na sisi! Leo ndiyo ameona?
Huyu mtu anaweweseko la roho tu.it has nothing to do with watanzania. Angeweka tu mambo hadharani tujue tumsaidieje,sema watu wanamshabikia as if anawapeeeenda. Hata leo tu akipewa hata kaukurugenzi humsikii tena.
 
Shangaziiiiiiiiiiiii !!! Watanzania kwa sasa wanakudharau sana.Huna tena mvuto hata hoja dhaifu unayoleta humu haivutii tena.Kwa nini usifanye mambo yako mengine uache hizi siasa ? Toka siku ile ulivyojinasibu kumtetea Ambalulu na ukaendelea kusema kuwa kila mtu ana uhuru wa kutumia nwili wake anavyoweza,tulikuona kuna kitu kimepungua kichwani mwako.Kinachokulinda kwa sasa ni Heshma ya baba yako tu.
 
Sasa huyo naye anayejiita shangazi badala ya kuwekeza anashinda mtandaoni kulalamika tu. Nishai tupu.
Baba wa Taifa ambae atakumbukwa daima na watanzania kizazi baada ya kizazi aliwekeza nini kwa miaka karibu 40! Hata haowaliokusapoti uelewa wenu unafananafanana!
 
Baba yako alitusaidia nini hapo kwenye popn ya 1.4?tuanzie hapo kwanza.
Ulitaka akununulie chakula au nguo? Aliimarisha democracy na kuruhusu/kustawisha umoja wa wazanzibari na uhuru wa fikira mbadala kwa wananchi akianza na familia yake ndiyo maana mtoto wake anafikra huru!
 
Haya maswala ya GDP si yanategemea idadi ya watu? Halafu mbuzi na ng'ombe wa wamasai wala kuku wa kule Singida sidhani kama huwa wanathaminishwa, hivyo hichi kipimo sio cha kuamini sana tuangalie maisha ya wanamibia weusi na sisi wa TZ weusi yakoje. Pia tuangalie ugumu wa maisha ya TZ kulinganisha na Namibia yakoje? Hizi takwimu kwangu mimi sioni kama ni kipimo sahihi kwa maisha ya mwafrika.

Kenya wana GDP kubwa ila raia wao wengi wanamaisha magumu sana, hivyo wale wachache waliojilimbikizia mali nyingi ndio pesa zao ugawanywa hata kwa wale wasio na uwezo wakupata mlo mmoja kwa siku ili kutoa faraja kwao kwa kwa njia ya GDP. Tufike mahali Afrika tuwe na njia yetu ya kupima maendeleo yetu alisema PLO Lumumba.
 
Cheap shots aka vijembe pembeni, alicho andika Shangazi ni rock solid facts aka ukweli mtupu.
Per capita income calculation ni utapeli wa wazungu kuficha Hali halisi ya maisha ya watu kwenye nchi husika.Mfano Pato la Taifa Taifa Ni shilingi milioni Mia tatu kwenye nchi yenye idadi ya watu kumi.Kupata Pato la kila mtu mmoja katika nchi unachukua hiyo milioni Mia tatu unagawanya kwa idadi ya watu.ukigawa unapata kuwa Pato la mtu mmoja kwa mwaka kwenye hiyo nchi Ni shilingi milioni 30 kwa watu hao kumi.Unaweza sema wako vizuri.mmmm twende kwenye uhalisia Hilo Pato la milioni Mia tatu Nani alipata Nini unakuta Bakhresa Pato lake kwa mwaka katika hizo milioni Mia tatu yeye Pato lake lilikuwa milioni 250.Pato la Reginald mengi lilikuwa milioni 49 .Pato la Mbowe lilikuwa laki Tisa na elfu thelathini.Unakuta hao watu watatu tu Pato lao Ni milioni 2,930.Zinabaki elfu 70 tu kwa ajili ya watu Saba waliobaki akiwemo Sugu na mchungaji Msigwa wasiokuwa na kazi yoyote iwe ya ubunge au umachinga ya kuwaingizia kipato. ukizigawa kwa watu hao Saba unapata per capita income yao kwa mwaka Ni shilingi elfu 10 tu !!!! Ila kwa hesabu ya per capita income wanaonekana kuwa Wana Pato la milioni 30 kwa mwaka utapeli mtupu.Katika vipimio vya uongo vya kupima per capita income hicho alichoongelea fatuma karume kinaongoza kwa uongo Kama alivyo mwongo mwenyewe
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana, yani mtu ametoa hoja nzuri hivyo badala ya kujadili hiyo hoja wao kwa kukoswa hoja wanaleta porojo za kisiasa. Very hopeless and shameful indeed.
 
Mbona hakumshauri baba yake alipokuwa rais? Mambo mengine watu wanapiga kelele kwa sababu nyingine kabisa na siyo kama wana uchungu na wananchi! Miaka yote nchi yetu imekuwa inasaidiwa na nchi zenye population ndogo kabisa kulinganisha na sisi! Leo ndiyo ameona?
We unajuwaje hajamshauri baba yake... Wewe umewai kumpa ushauri gani baba yako ..na akaupoke..??? watu wengine mnaongea kama mmekali ...#@@$$###
 
Back
Top Bottom