Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,101
- 32,923
Upuuzi mtupu.Kajambe huko
Upuuzi mtupu.Kajambe huko
Anza kuacha wewe.Piga kazi acha Blah Blah...
Ujana wako na zile kelele zako ulipotoka CHADEMA zilizifanya mamlaka za uteuzi zione labda utaleta mabadiliko kwa vijana, lakini imekuwa kinyume chake!Anza kuacha wewe.
KajermbeUpuuzi mtupu.
Upuuzi mtupu.Kajermbe
Tafuta kazi ya kufanya. Naona bando za Mashinji zinakuchengua.Ujana wako na zile kelele zako ulipotoka CHADEMA zilizifanya mamlaka za uteuzi zione labda utaleta mabadiliko kwa vijana, lakini imekuwa kinyume chake!
Nitafurahi ukionesha kwamba una uwezo zaidi kuliko huu wa kushinda JF kuishambulia CHADEMA.
Kazi zangu hazitumii kodi za watanzania tofauti na ya kwako. Fanya kazi ya kubadili maisha ya vijana. Wengine wanajiingiza kwenye ukahaba na matumizi ya madawa ya kulevya kwa kuwa hawana kazi.Tafuta kazi ya kufanya. Naona bando za Mashinji zinakuchengua.
Mashinji anapoteza bure hela za bando kwa makamanda uchwara.Kazi zangu hazitumii kodi za watanzania tofauti na ya kwako. Fanya kazi ya kubadili maisha ya vijana. Wengine wanajiingiza kwenye ukahaba na matumizi ya madawa ya kulevya kwa kuwa hawana kazi.
Kila siku inayopita jiulize umefanya nini kubadili maisha ya vijana wa Tanzania kupitia nafasi uliyo nayo. UNAIANGUSHA SANA MAMLAKA ILIYOKUTEUA.
Baba yake na babu yake wamechangia Sana kutufikisha hapa
Umewahi kuwaza kwamba bahati uliyopata huwa haitokei mara nyingi kwenye maisha ya binadamu? Unatakiwa ukiwa umeondoka kwenye hiyo nafasi vijana wenzako wa sasa na wa baadae wakukumbuke kwa kubadilisha maisha ya vijana.Mashinji anapoteza bure hela za bando kwa makamanda uchwara.
KerjambeUpuuzi mtupu.
Upuuzi mtupu.Kerjambe
Ooh,basi sawa. Hongereni kwa kuwa wamoko.nenda unguja utaona alichofanya.. nikusaidie kimoja tu...
aliunganisha uupinzani kupitia SERIKALI YA UMOJA.
MEKO kaja kuuvunja muungano
Hatari wallah!Kama babaake na yeye hakuna uhusiano !! mmmh ibada njema huanzia ugenini siku hizi.Baba yake na yeye kuna mahusiano gani kama binaadamu waliobeba kila mtu kichwa chake!
Kuwa na kaakili hata kadogo basi.
Ooh,basi sawa. Hongereni kwa kuwa wamoko.
kwa sasa hayuko Sawa Mkuu.......huyu kijana ni Mgonjwa........Kichwani kwishinei.....Ujana wako na zile kelele zako ulipotoka CHADEMA zilizifanya mamlaka za uteuzi zione labda utaleta mabadiliko kwa vijana, lakini imekuwa kinyume chake!
Nitafurahi ukionesha kwamba una uwezo zaidi kuliko huu wa kushinda JF kuishambulia CHADEMA.
Huyu kijana ni Mjinga sana na inatakiwa apewe Darasa njinsi ya kutoa Comments zake hasa humu kwenye JF ameanza kuota "Majipu" kwenye makwapa.......!!!! Amepoteza uelekeo......Ujana wako na zile kelele zako ulipotoka CHADEMA zilizifanya mamlaka za uteuzi zione labda utaleta mabadiliko kwa vijana, lakini imekuwa kinyume chake!
Nitafurahi ukionesha kwamba una uwezo zaidi kuliko huu wa kushinda JF kuishambulia CHADEMA.
Sawa. Kuona hoja au kuto ona kunategemea kiwango chako cha uelewa. Kilangila.Sioni hoja yoyote hapo.