ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Kuna mtu asiye na baba?hilo jina linamsaliti.Baba yake anaingiaje kwenye hiyo tweet?
ficha ukiazi huo.
Ficha uzwazwa wako.
Kuna mtu asiye na baba?hilo jina linamsaliti.Baba yake anaingiaje kwenye hiyo tweet?
ficha ukiazi huo.
Idadi ya watu imetumiwa kuexpress per capital income between the two countries.Swali lake linahusu pia idadi ya watu usisahau. 1m people,dingilai aliwaachia kipi?
Idadi ya watu imetumiwa kuexpress per capital income between the two countries.
Ok.Delete ccm 2020
Uhalisia kama huu unakuta mazwazwa wanaupinga kwa ngonjera na hoja zisizo mashiko...
She has nothing to do with dude ccm; the Neocolonialist!Kama ni kweli, mbona hakuona miaka kumi iliyopita,alikuwa mtoto na sasa kakua?
That is nice of her !!!after eating from Green table cloth for two or three decades.She has nothing to do with dude ccm; the Neocolonialist!
Aahaahahahaa! Now she wants new formation. Dunia ni complex ndugu.That is nice of her !!!after eating from Green table cloth for two or three decades.
That's your perception...!!Ndiyo atuambie hiyo per capital income ya kwao!! vinginevyo hana hoja ana njaa tu...anaimiss ikulu.
Uandishi mbovu kama huu unafanya serikali ionekane imeshindwa kabisa sekta ya elimungoja waje ukawa wenzio
lowassa kishaona kaamua kuludi si yetu macho 2
Mbona hakumshauri baba yake alipokuwa rais? Mambo mengine watu wanapiga kelele kwa sababu nyingine kabisa na siyo kama wana uchungu na wananchi! Miaka yote nchi yetu imekuwa inasaidiwa na nchi zenye population ndogo kabisa kulinganisha na sisi! Leo ndiyo ameona?
Kala vya CCM kavimbiwa sasa anatukana CCM iliyomlisha hadi kuvimbiwaTatizo ni CCM, kwani baba ake alikuwa nje ya mfumo wa CCM?
Nakuhakikishia Chifu Mangungo alikuwa na akili kuliko viongozi wengi unaowana leo. Karume wakati wa uchaguzi waliuawa wazanzibar wangapi? Mangungo kipindi chake waliuawa wananchi wangapi?Una uelewa mpana mkuu..mfano wake ni chifu Mangungo wa Msowero.
Tukiwa na wapiga kura mil.tano kama wewe,ccm itatawala milele
Kaka amka, usipitwe na wakati, hii ni karne ya Information Technology(IT), Trump kutwa kucha yuko Twitter, usishangae kumuona Fatma Karume kushinda mitandaoni..Sasa huyo naye anayejiita shangazi badala ya kuwekeza anashinda mtandaoni kulalamika tu. Nishai tupu.
Huyu binti karume ana matatizo ya kufikiria itabidi ajifunze vzr diplomasia ya uchumi