Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,812
mkuu ila hoja ya shangazi umeilewa ? Unadhani why hawawekezi badala yake wanaishia kulalamika?je zaidi ya yeye kutokuwekeza na kuishia kulalamika kwenye utawala wa ccm huoni tatizoSasa huyo naye anayejiita shangazi badala ya kuwekeza anashinda mtandaoni kulalamika tu. Nishai tupu.