Fatma Karume: Mzee kaenda kuomba Namibia

We unajuwaje hajamshauri baba yake... Wewe umewai kumpa ushauri gani baba yako ..na akaupoke..??? watu wengine mnaongea kama mmekali ...#@@$$###
Unaona zuzu mwingine huyu! Mazee alimpea huo ushauri jikoni? Mbona hakujitokeza hadharani kama sasa?
 
Ujumbe mfupi, lakini ni wenye uzito mkubwa sana!

Ingependeza sana watu wakaujadili 'ujumbe' kwa kina kuliko kumjadili aliyeleta ujumbe!

Bila shaka CCM wanakereka sana na taarifa kama hii, maanake inaumiza sana, na ni taarifa inayoeleweka kirahisi na wengi.
CCM siku zote wanakereka na hoja kama hizi zinazowashtua Watanzania kutoka usingizini. Ndio maana kwenye huu uzi wamejazana kumshambulia Bi. Fatma.
 
Akamuulize baba yake ilikuwaje akashindwa kuifanya Zanzibar kuwa Dubai of Africa.
kini
muungano wape uhuru uone kama huendi kuwaomba tambua kuwa zenji ndio kisiwa maskini in IndIan Ocean chanzo ni ,Muungano
 
Niambie ni wapi alipoitukana ccm?.
Wapi aliwahi sema Asante CCM kwa kumpa hata baba yake uraisi.wanyakyusa Akina Tulia naibu Spika hata ukimpa parachichi baba yake au mama yake lazima aseme Asante na kulia akipiga magoti akitamka kinyakyusa kuwa kyala akutule yaani Mungu akubariki Asante kwa kwa kumpa baba au mama parachichi akiwa na ndugu zake huku wanagalagala chini kuwa sisi hatujampa baba parachichi tunawashukuru sana kumpa baba au mama yetu parachichi .Huyu fatuma Hana hata shukrani ya kushukuru kuwa CCM ilimpa Cha maana baba yake au babu Yake au Kaka zake? loo !!!sijaona mtu asiye na shukrani Kama Fatuma Karume serious.Lini aliandika mitandaoni kushukuru CCM ?
 
CCM ni mali yao sasa ashukuru nini na kwa nani!?
 
Hujui Biblia inavyosema inataja watu wabaya wa siku za mwisho Soma 2 timotheo 3:1-9 inawataja wafiraji na wasio na shukrani Kama watu wabaya mno.Fatuma Hana shukrani kwa CCM iliyompa baba yake ugombea uraisi wa Zanzibar. Kwa mujibu wa Biblia anawekwa kundi moja na wafiraji kwenye hiyo Biblia
 
Kwanza anawashangaa mnavyojikomba kwa mali ya familia yao na kutaka kujimilikisha!

Kweli mnafirwa!!
 
Wapi aliwahi sema Asante CCM kwa kumpa hata baba yake uraisi.wanyakyusa Akina Tulia naibu Spika hata ukimpa parachichi baba yake au mama yake lazima aseme Asante na kulia akipiga magoti akitamka kinyakyusa kuwa kyala akutule yaani Mungu akubariki Asante kwa kwa kumpa baba au mama parachichi akiwa na ndugu zake huku wanagalagala chini kuwa sisi hatujampa baba parachichi tunawashukuru sana kumpa baba au mama yetu parachichi .Huyu fatuma Hana hata shukrani ya kushukuru kuwa CCM ilimpa Cha maana baba yake au babu Yake au Kaka zake? loo !!!sijaona mtu asiye na shukrani Kama Fatuma Karume serious.Lini aliandika mitandaoni kushukuru CCM ?
Umeandika kirefu sana ila hujanijibu swali langu. Nionyeshe wapi Fatma Karume ameitukana CCM?
 
Wapi aliwahi sema Asante kwa CCM walau kwa babaake kuteuliwa mgombea wa uraisi Zanzibar kupitia CCM wakati kura za maoni za Wana CCM Zanzibar hazikutosha akaponea wajumbe wa CCM bara? Hilo halijui au mbona hajarudi kusema Asante CCM kumbeba baba yangu ambaye asingebebwa na CCM kwa heshima ya babu Yake kuwa baba yake asingekuwa raisi wa Zanzibar? Fatuma alikuwa awe mtu wa mwisho KU challenge muungano baba yake alibebwa na muungano.Bila muungano baba yake asingekuwa raisi wa Zanzibar.Anyway familia ya karume kurudi Tena kwenye utawala Zanzibar wasahau .Wajipange kwa profession zingine.Mama Mzee karume mke wa muasisi wa Zanzibar bibi yake Fatuma Karume akifariki tu watajijua.Huyo ndio anawaweka hewani akifa kwa heri ya kuonana
 
Shida yenu nyie ccm mtu akisema hoja za kuwachallenge mnaona kawatukana.
 
Asante iko wapi hakuna binadamu mfanya mabaya tu hasa kwa familia ya Fatuma karume ndio maana nauliza Fatuma Karume Ina maana CCM ilifanya mabaya tu kwa familia ya Mzee karume hakuna Jema hata moja ambalo Fatuma Karume anatakiwa apost mitandaoni kusema Asante CCM?
 
Hivi huyu shangazi anae mjomba kweli,au ndio aliunga mkono za jinsia moja
 
Back
Top Bottom