Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,442
- 1,983
Kwa Colour TV ilikuwa ya kwanza Africa, ilikuwa na Kambi ya Wazee, ilikuwa ukiumwa TB huruhusiwi kukaa mtaani kuna kambi maalum ya watu wa TB, watu walikuwa wanalazimishwa kuishi modern life Civil Servants wote walikuwa wanalazimishwa kukopa vitu kama Gari, Baiskeli, Pikipiki, TV, Dinner Set nk kulingana na rank yako huduma ya maji ya bomba ilikuwa bure.
Katika 1980s Znz kulishakuwa na Industrialists toka Spain, Italy, China hata baadhi ya Scandinavian Countries
Katika 1980s Znz kulishakuwa na Industrialists toka Spain, Italy, China hata baadhi ya Scandinavian Countries
Wakati wa Karume Zenj ilikuwa nchi ya kwanza east and central africa kuwa na colour tv. Zenj ilikuwa na akiba kubwa ya forex kuliko tanganyika, per capital income ya Zenj ilikuwa kubwa sana kulinganisha na tanganyika