Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,998
Hapa ni Great Thinker, mitandao ni njia za mawasiliano. Shangazi haishii mitandaoni tu, lakini anatekeleza malengo mahakamani na anaihenyesha serikali kandamizi ya Magufuli. Ila wewe unalipwa kwa kuitetea serikali na chama chako cha ccm. kati ya shangazi na wewe, shangazi yuko vizuri sana. wewe ni kikaragosi usiye na mbele wala nyuma. wala huna utaifa, ila unalinda maslahi ya kikundi cha watu. Shangazi anaangalia maslahi ya taifa, maslahi ya wengi. anapendwa na wengi. nyie mnalazimisha kupendwa kwa kutumia polisi na sheria kandamiziSasa huyo naye anayejiita shangazi badala ya kuwekeza anashinda mtandaoni kulalamika tu. Nishai tupu.