Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

Kulimbikiza mabilioni ya pesa za wizi kwa nchi yenye raia maskini kama Tanzania ni dalili za ukichaa.
 
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 .

Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k

Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
Uongo hautakusaidia kitu,chuki kwa kikwete ni ya nini hwbu toa ushahidi wa hizo mali
 
Huu wakati mambo mengi yamekuwa yakifumuka watu wanakuja na habari ambazo zilikuwa hazijulikani Mungu atusaidie maana hii hali inasababisha hasira kwa wananchi
 
Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 .

Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k

Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
Majungu
 
@moderators mbona mnaruhusu ujinga humu!?
UnaKufa masikini kutetea watu wanaomiliki 1/3 ya uchumi wa tanzania Kwa ufisadi kweli wengine ubongo wenu upo katikati ya makalio kwenye kile kitobo
 
Back
Top Bottom