Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,165
- 1,515
Nashukuru kwa jibu murua mkuu AGRIWORTH TZ ubarikiwe sanaAhsante kwa kuomba ufafanuzu wa kitaalam @ mkuu Majan. Baada ya mbolea kufika shambani Ni vema ikakaa pembeni kwa muda usiopungua wiki tatu hadi nne ili kuifanya ipoe isije kuunguza Miche ya mazao. Baada ya muda huo kupita Sasa unaweza kuendelea na hatua ya kuchanganya mbolea na udongo Kisha kupanda miche yako kwenye mashimo