Hizi Hapa Mbinu Za Kutengeneza Shamba La Mfano

Godfrey Sway

Member
Apr 13, 2018
37
34
Zingatia Mambo Haya Ili Kuhakikisha Unakuwa Na Shamba Lenye Miti Yenye Afya Na Mavuno Mengi.

Kwa Wakulima wa Matunda Wa Muda Mrefu na wapya watakuwa mashahidi kuwa ili Shamba liwe na Mavuno Bora na Mengi Zaidi Lazima haya Yafanyike.
1. Usafi wa Shamba.
Hakikisha Shamba lako ni safi Muda Wote. Mara nyingi wadudu waharibifu hukaa kwenye magugu na majani yanayoota shambani.

2.Weka Miti Mbolea.
Mbolea za Samadi pamoja na za Chumvi Chumvi zitasaidi Miti Yako kupata madini ya boron, zink, Calcium, phosphorus n.k

3. Hakikisha Unyevu wa Kutosha shambani.
Ikibidi weka matandazo kuzunguka shina la mche ili kutunza Unyevu.

4. Piga Sumu ya kuuwa wadudu waharibifu.
Unaweza tumia sumu kama vile Dudu Accelamectin, Innovex, pamoja na dawa za ukungu kama vile Master Kinga.

5. Kupogolea na Kuondoa Matawi Dhaifu.
Haya Yote utayafanikisha tu Endapo utapata Miche Bora ya Matunda kama Vile Parachichi, Embe, Ndimu, Chungwa, Papai, Chenza, Limao, Pera, Stafeli, tope tope, Pasheni, na komamanga. Unapata hii Miche ya Muda Mfupi kwa Bei Ile Ile ya Tsh 2500 Tu.
Weka Oder Yako Leo
Mr. Sway 0752799673
Glory Farm 0746850361
Tupo SUA Morogoro.
Unatumiwa Miche popote Tanzania.View attachment 2822970View attachment 2822971View attachment 2822972View attachment 2822973
IMG-20231113-WA0257.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom