Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

Nilisikia kitalamu inatakiwa uchimbe mashimo then uyaache angalau mwezi mmoja ndio uje upande sasa mimi kwa akili yangu nikajua unachimba shimo,unatoa udongo wa chini thn unarudishia udogo wajuu ukiwa umeuchanganya na samadi thn ndio unaacha huo mwezi mmoja ndio uje upande nakwamwezi kama huu october ndio watu wapo kwene maandalizi yamashimo ili kusubiri mvua zikianza mwezi ujao wawahi kupanda . sasa kuna kijiji huku mbeya nimekuta shamba limechimbwa mashimo thn yameachwa wazi tu anasubiri mvua zianze ili apande, yn hajarudishia udongo anasubiri hadi mvua ziaze ili apande je ndio sahihi au sahihi nikuchimba shimo nakurudishia udongo wajuu uliouchanganya na samadi kisha ndio uyaache huo mwezi mmoja kusubiri mvua?
 
Kwahyo unataka afute uzi ama unataka nn yan sjakuelewa mkuu....mbona waswahili maskini sana
Kuwa makini ndugu mjini hapa utafugishwa nyoka bure kuna baadhi ya watu same idea watakuuzia shamba, mbegu, dawa, mbolea, gharama za ushauri, kimbembe wakati wa kuuza.
 
Kwa hiyo ekari moja hujaelezea mavuno yake,kwa maana ya faida na kurudisha gharama za uwekezaji etc

Ahsante Sana mkuu @ Malcolm X5 kwa swali liko. Uwekezaji wa zao la parachichi kwa mkoa wa Njombe kwenye ekari moja Ni Kama ifuatavyo;
(1) Bei ya ekari moja Ni tsh 150000.
(2) Gharama ya Kusafisha Shamba Ni tsh 40000 kwa ekari moj
(3)Gharama ya mche mmoja wa parachichi aina ya HASS Ni TSH 3000
(4)Gharama ya kununua mbolea ya samadi lorri moja ikijumuisha kupakia, kusafirisha na kushusha huwa tsh 150000
(5)Gharama ya uchimbaji wa mashimo, uchanganyaji wa mbolea na kupanda Miche Ni TSH 2000 kwa Kila mche.

FAIDA KATIKA UWEKEZAJI HUU BAADA YA MIAKA MITATU.
Ekari moja huwa na Miche 70.
Kila mche mmojahutoa kg 40 mpaka kg 60 kwa msimu wa awali wa mavuno .
Kilo moja ya parachichi kwa Sasa Ni TSH 1500
Hivyo zidisha 1500 kwa kg 40 =60000
Miche 70 zidisha kwa 60000=4200000.

Hiyo pesa 4200000 utatoa jumla ya gharama kuu katika uwekezaji

MUHIMU,. Zao hili huvuna kwa muda mrefu sana
 
Kuwa makini ndugu mjini hapa utafugishwa nyoka bure kuna baadhi ya watu same idea watakuuzia shamba,mbegu,dawa,mbolea,gharama za ushauri,k imbembe wakati wakuuza,

Mkuu kwani huamini kuwa parachichi ni zao ambalo linatumika Kila siku katika maisha yetu? Ifike wakati tufikiri juu ya biashara za ku export bidhaa zetu. Kama una swali uliza tu. Karibu
 
Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na wadau wengine.

Maparachichi ni chakula chenye viini lishe bora kama vitamini {A, B2, C, D, E, K} na madini {P, K,Mn, S} ambavyolinda mwili , mafuta kwa wingi asilimia 5 mpaka 30ambayo huleta joto mwilini, protin asilimia 1 mpaka 5ambayo hujenga mwili na kiasi cha colories 250 ambayo huleta nguvu mwilini.

Tofauti na matunda mengine, maparachichi ni malighafi ya viwandani kutengenezea madawa ya ngozi pamoja na vipodozi mfano mafuta ya nywele, shampoo na sabuni. Vilevile majani yake na mbegu hutumika kama dawa.

Aina bora za parachichi ambazo zimefanyiwa utafditi na kukubalika kwa wakulima na walaji ni pamoja na HASS, FUERTE, WEISAL IKULU, MWAIKOKESYA, EX TENGERU NA NABALI. Aina hizi zinazaa matunda mengi na bora pia huchukua muda mfupi kukomaa . kiasi chs matunda kwa mti ni klati ya 300 hadi 800 kutegemeana na matunda

Njia bora ya kuzalisha miche ya maparachichini kwa njia ya vikonyo. Faida zinazotokaana na njia hii ni

Miti kuchukua muda mfupi kukomaa na kuzaa matunda {miaka 3}
Miti huwa na umbo na urefu wa wastani
Kuepusha magonjwa hasa virus
Miche mingi kuzalishwa kwa wakati mmoja

HATUA ZA KUFUATA KABLA YA KUZALISHA MICHE KWA NJIA YA VIKONYO
1. Kuzalisha miche ya kubebeshea vikonyo kutokana na mbegu
2. Kubebesha vikonyo kwenye miche. Vifaa vinavyohitajika ni mifuko ya plastiki yenye kipenyo cha 5 -6 na urefu wa 5-6, udongo safi usio na magonjwa hasa wa msituni, samadi, mchanga/pumba za mchele kwa uwiano wa 3;1;1, mbolea ya TSP
3. Andaa kitalu sehemu wazi na tengeneza kichanja ili kuzuia jua na mvua
4. Changanya udongo na jaza kwenye viliba
5. Panda mbegu kwenye viliba
6. Uwagilia maji
7. Baada ya wiki 2-3 mbegu zitaanza kuota
8. Tunza miche hadi kufikia umri wa kubebeshwa miezi 3-4 au unene wa penseli. ZINGATIA ukuaji wa miche hutegemea hali ya hewa

JINSI YA KUBEBESHA VIKONYO
Ni muhimu kuchagua tawi zuri kwenye mti uliokomaa na kuzaa matunda ili kuharakisha kukomaana kuzaa matunda kwa mti uliobebeshwa, usichsgue kikonyo chenye maua, kikonyo kikianza kuchipua hakifai kwa kubebesha kwa sababu ni kichanga.
miche inayobebeshwa itoke kwenye jamii moja
  • Urefu wa kikonyo uwe sm 15-20 na chonga kikonyo bapa sm 2-3
  • Mche wa kubebeshea kikonyo ukatwe juu kwenye shina sm 20-25kutoka usawa wa udongo na kata kipenyo cha sm 2-3
  • Urefu wa kikonyo ulingane na urefu wa bapa la kikonyo
  • Sehemu ya mmea yenye mirija ya kupitisha chakula na maji zihakikishwe zinaungana
  • Fungia vizuri kikonyo kwenye shina na mkanda [strip] wa nailoni nyeupe. Tendo hili lifanyike kwenye mazingirea safina haraka ili utomvu kwenye bapa na kipenyo usikauke
  • Funika mche na mfuko wa nailoni nyeupe inayopitisha mwanga mradi isiwe nyeusi
Baada ya wiki 2-3 vikonyo vilivyopona vitaanza kuchipua. Tunza miche ya kitaluni kwa kumwagilia maji na kuondoa machipukizi'

UCHIMBAJI WA MASHIMO
Pima nafasi za kupanda ambazo ni 6m kwa 5m, 6m kwa 6m au 6m kwa 8m. Tenganisha udongo wa wa chini na wa juu. Changanya udongo wa juu na samadi. Rudisha udongon wa juu kwenye shimo. Weka kijiti katikati ya shimo. Rudisha udongo wa chini. Panda miche wakati wa masika. Chagua miche yenye afya nzuri. Fungua mikanda ya nailoni iliyounganisha shimo nsa kikonyo wiki 2-3 baada ya kupanda mche

SHUGHULI NYINGINE MUHIMU NI:
Palizi, kumwagilia maji, kuondoa machipukizi na kuzuia magonjwa na wadudu

MAVUNO YA PARACHICHI NA FAIDA YAKE
Mche mmoja wa parachichi aina ya HASS huanza kwa kutoa kg 40 mpaka kg 60 kwa mavuno yake kwa msimu wa kwanza. Bei ya soko kwa sasa KAMPUNI YA AGRIWORTH TANZANIA tununua kutoka kwa mkulima shambani tsh 1500 KWA KG 1. Hivyo 1500 zidisha kwa kg 40 =60000 kwa mche mmoja kwa kadirio la chini

Ekari moja hupandwa miche 70. MICHE 70 zidisha kwa 60000= 4200000.
Soko la parachini ni kubwa sana duniani kwa sasa.

Miche hii hudumu zaidi ya miaka 50 ya mavuno yake shambani

KWA MAHITAJI YA SHAMBA ZA KILIMO CHA PARACHICHI MKOA WA NJOMBE
Bei ya shamba ni tsh 150,000= kwa ekari moja mkoano Njombe. Ofisi zetu zipo mkoani Njombe. Pia tunatoa huduma ya usimamizi wa shamba mpaka kipindi cha mavuno kwa walio tayari kusimamiwa shughuli zao na kampuni
Mada nzuri sana hii
 
Ahsante Sana mkuu @ Malcolm X5 kwa swali liko. Uwekezaji wa zao la parachichi kwa mkoa wa Njombe kwenye ekari moja Ni Kama ifuatavyo;
(1) Bei ya ekari moja Ni tsh 150000.
(2) Gharama ya Kusafisha Shamba Ni tsh 40000 kwa ekari moj
(3)Gharama ya mche mmoja wa parachichi aina ya HASS Ni TSH 3000
(4)Gharama ya kununua mbolea ya samadi lorri moja ikijumuisha kupakia, kusafirisha na kushusha huwa tsh 150000
(5)Gharama ya uchimbaji wa mashimo, uchanganyaji wa mbolea na kupanda Miche Ni TSH 2000 kwa Kila mche.

FAIDA KATIKA UWEKEZAJI HUU BAADA YA MIAKA MITATU.
Ekari moja huwa na Miche 70.
Kila mche mmojahutoa kg 40 mpaka kg 60 kwa msimu wa awali wa mavuno .
Kilo moja ya parachichi kwa Sasa Ni TSH 1500
Hivyo zidisha 1500 kwa kg 40 =60000
Miche 70 zidisha kwa 60000=4200000.

Hiyo pesa 4200000 utatoa jumla ya gharama kuu katika uwekezaji

MUHIMU,. Zao hili huvuna kwa muda mrefu sana
Ahsante mkuu,biashara nzuri,na unatusaidia unavyodadavua vizuri✋🏾✋🏾✋🏾
 
Hakuna gharama nyingine? Kama madawa, umwagiliaji???
 
Mimi sijaelewa hapa,
Nyinyi mnatuambia tukitaka kununua Shamba ni 150,000/-.

Nyinyi mnao utaalamu wa kulima hayo Maparachichi,

Nyinyi mnalo soko la Maparachichi.

Sasa kwanini hayo mashamba msilime wenyewe mkapata hayo Maparachichi mkauza kwenye hilo soko la nje mlilonalo? Na hiki kilimo mnakijua vilivyo nje ndani.
 
Ahsante Sana mkuu @ Malcolm X5 kwa swali liko. Uwekezaji wa zao la parachichi kwa mkoa wa Njombe kwenye ekari moja Ni Kama ifuatavyo;
(1) Bei ya ekari moja Ni tsh 150000.
(2) Gharama ya Kusafisha Shamba Ni tsh 40000 kwa ekari moj
(3)Gharama ya mche mmoja wa parachichi aina ya HASS Ni TSH 3000
(4)Gharama ya kununua mbolea ya samadi lorri moja ikijumuisha kupakia, kusafirisha na kushusha huwa tsh 150000
(5)Gharama ya uchimbaji wa mashimo, uchanganyaji wa mbolea na kupanda Miche Ni TSH 2000 kwa Kila mche.

FAIDA KATIKA UWEKEZAJI HUU BAADA YA MIAKA MITATU.
Ekari moja huwa na Miche 70.
Kila mche mmojahutoa kg 40 mpaka kg 60 kwa msimu wa awali wa mavuno .
Kilo moja ya parachichi kwa Sasa Ni TSH 1500
Hivyo zidisha 1500 kwa kg 40 =60000
Miche 70 zidisha kwa 60000=4200000.

Hiyo pesa 4200000 utatoa jumla ya gharama kuu katika uwekezaji

MUHIMU,. Zao hili huvuna kwa muda mrefu sana
Kununua Shamba 150,000/=
Kusafisha Shamba 40,000/=
Miche 3,000x70= 210,000/=
Kupanda 2,000x70=140,000/=
Mbolea = 150,000/=

TOTAL KWA HEKA 690,000/=
 
Kampuni ni nyingi sana zinanunua, nyingi tu..kutokana na demand sokon, kampuni ili kutengeneza wateja wa kudumu zinaamua anza nao sifuri

Ahsante Sana mkuu@ Danpol =Kwa ufupi shukrani kwa ufafanuzu mzuri. Ni kweli kampuni zipo nyingi za ununuzi kutokana na demand and supply kuwa juu sokoni
 
Nilisikia kitalamu inatakiwa uchimbe mashimo then uyaache angalau mwezi mmoja ndio uje upande sasa mimi kwa akili yangu nikajua unachimba shimo,unatoa udongo wa chini thn unarudishia udogo wajuu ukiwa umeuchanganya na samadi thn ndio unaacha huo mwezi mmoja ndio uje upande nakwamwezi kama huu october ndio watu wapo kwene maandalizi yamashimo ili kusubiri mvua zikianza mwezi ujao wawahi kupanda . sasa kuna kijiji huku mbeya nimekuta shamba limechimbwa mashimo thn yameachwa wazi tu anasubiri mvua zianze ili apande, yn hajarudishia udongo anasubiri hadi mvua ziaze ili apande je ndio sahihi au sahihi nikuchimba shimo nakurudishia udongo wajuu uliouchanganya na samadi kisha ndio uyaache huo mwezi mmoja kusubiri mvua?

Ahsante kwa kuomba ufafanuzu wa kitaalam @ mkuu Majan. Baada ya mbolea kufika shambani Ni vema ikakaa pembeni kwa muda usiopungua wiki tatu hadi nne ili kuifanya ipoe isije kuunguza Miche ya mazao. Baada ya muda huo kupita Sasa unaweza kuendelea na hatua ya kuchanganya mbolea na udongo Kisha kupanda miche yako kwenye mashimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom