Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,712
- 3,224
Binafsi natokea njombe, mtoa mada yupo sahihi kule habr ya mjini ni kilimo cha parachichi.
Kuna wale wanao adopt mapema na kuanza kupanda, kuna wanaosubir matokeo waone kwanza ndio waingia kupanda na kuna wale rigid/late adopt, hawa mpaka miaka mingi sana ipite ndo wakubar.
Swali langu, kampuni mnanunua na kusafirisha nje za nchi au mnamiliki kiwanda mnachakata (process) nyinyi wenyewe hapa hapa bongo?