Hizi Hapa Sifa Za Parachichi Aina Ya HASS

Godfrey Sway

Member
Apr 13, 2018
37
34
Hii Hapa Siri ya Parachichi Aina ya HASS.
Wengine wamezoea kuita parachichi upele, na hii ni Kutokana na Ganda lake kuwa na vinundu vidogo vidogo.
Parachichi Aina ya HASS Ndio parachichi ya kwanza kwa Ubora Duniani. Hii ni Kutokana na kuwa na sifa Hizi.
1. HASS Inazaa sana.
Mche Wa Hass ulioandaliwa vizur unatoa matunda mengi sana. Mche Wa miaka 4-5 unaweza kutoa zaidi ya Kilo 300 za Parachichi.
2. Muda Mfupi Kupata Matunda.
Mche Wa HASS uliobebeshwa Vizur unaanza kutoa mauwa ndani ya Miaka 2 tu tangu ulipowekwa shambani.
3. Mafuta Mengi.
Parachichi Aina ya HASS Inasifika kuwa na mafuta Mengi ambayo ni mazuri kwa Afya na kwaajili ya matumizi ya viwandani.
4.Uwezo wa Kukaa Muda Mrefu Bila kuoza.
Hii ndio sababu kubwa ya Parachichi aina ya HASS kuongoza mauzo kwenye soko la Dunia.
Bado Tunaendelea Kuzalisha Miche Bora ya HASS kwaajili Yako Kwa Bei Ile Ile ya Tsh 2500 Tu.
Weka Oder Yako Mapema kuwahi Mvua za Vuli.
Tupigie Leo
Mr. Sway: 0752799673
Glory Farm: 0746850361View attachment 2814075View attachment 2814076View attachment 2814077
IMG-20231114-WA0028.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom