kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 578
- 1,107
Salam bandugu
Je umeshakutana na hii?
Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela,
au ile, una 2000 hapo ya karibu,
yaani siku mwanaume ukiwa nyumbani adi chumvi huwa inaisha, na unakuta labda unanunua vitu vya wiki nzima, na usiposhinda nyumbani Kwa maana ya kuwa kazini,hivyo vitu huwa vinatosha shida inakuwa wapi hapo? Au ndo upigaji wa kiaina?